Makamu Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Samia
Suluhu Hassan (aliyebeba mkoba) akiwasili Bungeni kuendelea na majukumu ya
Bunge Maalum la Katiba. Aliyemtangulia mbele ni Mkuu wa Idara wa shughuli za
Bunge John Joel.
Mwakilishi wa Watanzania waishio Marekani ambaye pia ni
Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Bw. Kadari Singo (kushoto), akifurahia jambo
akiwa pamoja na waandishi wa habari leo 29 Agosti, 2014, viwanja vya Bunge, mjini
Dodoma.
Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba, kulia ni Mhe. Stella
Manyanya akiwa amefuatana na Mhe. Reuben Matango wakielekea ndani ya Bunge
Singo leo 29 Agosti, 2014 Bunge Maalum la Katiba mjini Dodoma.
Mwakilishi wa Watanzania waishio Marekani ambaye pia ni
Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Bw. Kadari Singo (kushoto) akibadilishana
mawazo na Mjumbe mwenzie, Mhe. Yusuph Singo
leo 29 Agosti, 2014 Bunge Maalum la Katiba mjini Dodoma. (Picha zote na Benedict Liwenga,
Maelezo-Dodoma)
No comments:
Post a Comment