Sheikh wa Wilaya ya Monduli, Sheikh Mwinshehe Mwinyi akizungumza na waumini wakati wa futari iliyoandaliwa na Waziri Mkuu mstafu, Mh. Lowassa.
Baadhi ya waumini wakipata futari iliyoandaliwa na Mbunge wa Monduli, Waziri Mkuu mstaafu, Mh. Edward Lowassa.
Mke wa Mbunge wa Jimbo la Monduli, Regina Lowassa akizungumza katika ghafla ya futari, iliyoandaliwa na mbunge huyo, Edward Lowassa, iliyofanyika katika Msikiti wa Monduli.
Mbunge wa Monduli Mh. Edward Lowassa akiwa na Shekh wa Wilaya ya Monduli Shekh Mwinshehe Mwinyi wakati wa futari aliyoiandaa kwa ajili ya waumini wa dini ya kiisalamu wilaya Monduli.
Shekh wa Wilaya ya Monduli Shekh Mwinshehe Mwinyi akizungumza na waumini wakati wa futari iliyoandaliwa na Mh. Lowassa.
Waumini wakipata fuatari hiyo.
Viongozi waliokuwepo Meza Kuu, wakipata futari.
Waumini wakipata futari iliyoandaliwa na mbunge wa jimbo la Monduli Mh. Lowassa.
Mke wa Mbunge wa jimbo la Monduli, Regina Lowassa akizungumza katika hafla ya futari iliyoandaliwa na mbunge wa jimbo hilo Edward Lowassa iliyofanyika katika Msikiti Mkuu wa Monduli.
Mbunge wa viti maalum CCM, Mkoa wa Arusha, Namelock Sokoine akizungumza katika hafla ya futari hiyo, iliyofanyika katika Msikiti Mkuu wa Monduli.
Mbunge wa viti maalum CCM mkoa wa Arusha Namelock Sokoine akiwa na mke wa Lowassa katika hafla ya futari iliyofanyika katika Msikiti wa Monduli.
Mbunge wa Viti Maalum wa CCM, Mkoa wa Arusha, Namelock Sokoine akiwa na mke wa Lowassa katika hafla ya futari iliyofanyika katika Msikiti wa Monduli. |
No comments:
Post a Comment