Baadhi ya washiriki wakiwa kwenye mafunzo hayo
Katibu Mwenezi wa wilaya ya Kinondoni, Mwinyimkuu Sangaraza, akitoa mada kuhusu wajibu na majukumu ya Katibu wa Uchumi na Fedha kwa mujibu wa katiba ya chama, wakati wa mafunzo hayo.
Kada wa CCM, Badili Mangula akitoa mada kuhusu wajibu wa Katibu kwa mujibu wa Katiba.
Mwenyekiti wa CCM, Kinondoni, Salum Madenge akiziungumza na waandishi baada ya kufungua mafunzo hayo elekezi.
Mbunge wa Temeke, Abbas Mtemvu akizungumza baada ya kufunguliwa mafunzo hayo. (Picha zote na Bashir Nkoromo- theNkoromo Blog)
No comments:
Post a Comment