TANGAZO


Saturday, July 26, 2014

Rais Kikwete, Waziri Mkuu Pinda washiriki futari iliyoandaliwa na Makamu wake Dk. Gharib Bilal


Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka sawa kola ya kanzu ya Waziri Mkuu, Mhe. Mizengo Pinda kabla ya kushiriki katika futari iliyoandaliwa  na Makamu wake, Dkt. Mohamed Gharib Bilali katika makazi yake, Oysterbay jijini Dar es Salaam, jana Ijumaa jioni, Julai 25, 2014.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete (katikati), akiongozana na Makamu wake, Dkt. Mohamed Gharib Bilali (wa pili kulia), Waziri Mkuu Mizengo Pinda (kushoto) na Jaji Mkuu wa Tanzania, Mhe. Mohamed Chande Othman (kulia), wakiwasili kushiriki katika futari iliyoandaliwa na Makamu wake, Dkt. Mohamed Gharib Bilali katika makazi yake, Oysterbay jijini Dar es Salaam jana, Ijumaa jioni Julai 25, 2014.

No comments:

Post a Comment