TANGAZO


Saturday, July 26, 2014

Mwigulu Nchemba alivyofunga Mitaa jijini Mwanza

Naibu Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Tanzania Bara na Naibu Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba akiwapungia wananchi alipokuwa akiingia kuhutubia katika mkutano wa hadhara kwenye Uwanja wa Furahisha, jijini Mwanza leo, ambapo alizungumzia utata kuhusu Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) na kufutwa kwa baadhi ya misamaha ya kodi.
Naibu Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Tanzania Bara, Mwigulu Nchemba akisalimiana na wananchi wakati alipokuwa akiingia kwenye Uwanja wa Furahisha, jijini Mwanza leo, kuwahutubia wananchi.
Naibu Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Tanzania Bara na Naibu Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba akisalimiana na wananchi alipokuwa akiingia katika Uwanja wa Furahisha, jijini Mwanza leo, kuhutubia wananchi katika mkutano wa hadhara.

Naibu Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Tanzania Bara na Naibu Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba akiwahutubia wananchi wa Mwanza, katika Uwanja wa Furahisha, jijini humo leo.
Naibu Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Tanzania Bara, Mwigulu Nchemba akihutubia katika mkutano wa hadhara kwenye Uwanja wa Furahisha, jijini Mwanza leo. ambapo alizungumzia utata kuhusu Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) na kufutwa kwa baadhi ya misamaha ya kodi.
Naibu Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Tanzania Bara, Mwigulu Nchemba akihutubia mkutano huo wa hadhara kwenye Uwanja wa Furahisha, jijini Mwanza leo.

Naibu Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Tanzania Bara na Naibu Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba akiwahutubia wananchi katika mkutano wa hadhara kwenye Uwanja wa Furahisha, jijini Mwanza leo.
Wananchi wakiwa wamefurika kwenye Uwanja wa Furahisha jijini Mwanza kumsikiliza Naibu Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Tanzania Bara na Naibu Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba, alipokuwa akihutubia katika mkutano wa hadhara.
 Naibu Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Tanzania Bara na Naibu Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba akiwapungia wananchi wa Mwanza mara baada ya kumaliza kuwahutubia katika Uwanja wa Furahisha, leo.
Naibu Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Tanzania Bara na Naibu Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba akiwapungia wananchi wa Mwanza, ili kuwaaga, mara baada ya kumaliza kuwahutubia katika Uwanja wa Furahisha, leo.

No comments:

Post a Comment