TANGAZO


Monday, July 14, 2014

Naibu Waziri wa Maji, Amos Makalla akagua maendeleo ya mradi wa ujenzi wa tenki la kuhifadhia maji

Ujumbe ulioongozana na Naibu Waziri wa Maji, Amos Makalla ukiwa ndani ya tenki la maji lililopo Chuo Kikuu cha Ardhi.                                                                 
 Naibu Waziri wa Maji, Amos Makalla akiambatana na wakandarasi wa kampuni ya WABAG pamoja na Meneja Mradi DAWASA, Inj. Romanus Mwang'ingo (mwisho kulia)  wakikagua  mradi wa maji wa Ruvu Juu, Pwani.                                                
Ramani ya mpango wa ujenzi wa mradi wa maji Ruvu Juu, Pwani.
Meneja  Mradi DAWASA, Inj. Romanus Mwang'ingo akimuonyesha Naibu Waziri wa Maji, Amos Makalla ramani ya mpango wa ujenzi wa matenki ya mradi wa maji Ruvu Juu mkoani Pwani unaoendelea kujengwa.
Naibu Waziri wa Maji, Amos Makalla akiwa na Mbunge wa Kibaha Vijijini, Hamoud Jumaa wakiwa katika 'kijiko' katika eneo la ujenzi wa mradi wa maji Ruvu Juu, Pwani. (Picha zote na mpigapicha wetu)

No comments:

Post a Comment