TANGAZO

Friday, July 18, 2014

Mradi wa bomba kukamilika kama ilivyopagwa-Waziri Muhongo

Mkandarasi anayehusika na usambazaji wa umeme vijijini aliyejulikana kwa jina moja la Luta mwenye shati nyeupe, mara baada ya kusimamishwa na waziri wa Nishati na Madini Prof Muhongo ili kuelezea maendeleo aliyoyafikia katika kukamilisha mradi huo kulia kwake ni Mkurugenziwa Huduma za Ufundi (REA) Injinia Bengiel H. Msofe.
Mkuu wa Mkoa wa Lindi, akimweleza Waziri wa Nishati na Madini jambo linalohusu sekta ya umeme ambapo Prof. Muhongo anaisimamia ili kuboresha utoaji wa huduma kwa wananchi.
Mkandarasi anayehusika na usambazaji wa umeme vijijini aliyejulikana kwa jina moja la Luta mwenye shati nyeupe, mara baada ya kusimamishwa na waziri wa Nishati na Madini Prof Muhongo ili kuelezea maendeleo aliyoyafikia katika kukamilisha mradi huo kulia kwake ni Mkurugenziwa Huduma za Ufundi (REA) Injinia Bengiel H. Msofe.

Waziri wa nishati na Madini na ujumbe wake akikagua mrradi wa ujenzi wa nyumba za kuishi watumishi wa mtambo wa kufua gesi lililopo katika eneo la Madimba Mkoani Mtwara
Baadhi ya nyumba zitakazotumika kwa kuishi watumishi wa eneo la kuchakata gesi Madimba ni nyumba za kisasa zilizojegwa kwa ubora mkubwa sana kama zinavyoonekana.

No comments:

Post a Comment