Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akihutubia wakati alipokuwa mgeni rasmi kukabidhi Tuzo za washindi wa
mashindano ya kuhifadhi qur-aan, yaliyofanyika leo Julai 20, 2014, kwenye
Ukumbi wa Diamond Jubilee, jijini Dar es Salaam. (Picha zote na OMR)
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akihutubia wakati alipokuwa mgeni rasmi kukabidhi Tuzo za washindi wa
mashindano ya kuhifadhi qur-aan, yaliyofanyika leo Julai 20, 2014, kwenye
Ukumbi wa Diamond Jubilee, jijini Dar es Salaam. Picha na OMR
Makamu wa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akimkabidhi zawadi, mshindi wa pili wa mashindano ya kuhifadhi Qur'an, ambaye
ni Mtanzania, Said Omary Said, wakati wa hafla ya hitimisho la mashindano hayo
iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam, leo Julai
20, 2014. Wa pili kushoto ni Rais Mstaafu wa awamu ya pili, Ali Hassan Mwinyi.
Makamu wa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akimkabidhi zawadi, mshindi wa kwanza wa mashindano ya kuhifadhi Qur'an, Hatham
Sadar, kutoka nchini Kenya wakati wa hafla ya hitimisho la mashindano hayo
iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam, leo Julai
20, 2014. Wa pili kushoto ni Rais Mstaafu wa awamu ya pili, Ali Hassan Mwinyi.
Makamu wa Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, Rais Mstaafu wa
awamu ya pili, Ali Hassan Mwinyi na baadhi ya viongozi wakiwa katika picha ya
pamoja na washindi watatu wa mashindano hayo baada ya kukabidhiwa zawadi zao.
Makamu wa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, Rais
Mstaafu wa awamu ya pili, Ali Hassan Mwinyi na baadhi ya viongozi wakiwa katika
picha ya pamoja na washiriki wa mashindano hayo baada ya kukabidhiwa zawadi
zao.
Makamu wa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, Rais
Mstaafu wa awamu ya pili, Ali Hassan Mwinyi na baadhi ya viongozi wakiwa katika
picha ya pamoja na washindi watatu na majaji wa mashindano hayo, baada ya zoezi
la kukabidhi zawadi.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana
na baadhi ya waumini wa dini ya Kiislam, wakati akiondoka kwenye ukumbi wa
Diamond Jubilee baada ya kukabidhi zawadi za washindi wa mashindano ya
kuhifadhi Qur'an, yaliyomalizika leo Julai 20, 2014, jijini Dar es Salaam.

No comments:
Post a Comment