TANGAZO


Sunday, July 20, 2014

Kampuni ya Montage yafuturisha yatima wa SOS, Tawi la Ubungo jijini Dar es Salaam


Baadhi ya yatima wa vituo vya SOS Children's Villages Tanzania, tawi la Ubungo, wakichukua chakula kwa ajili ya kufuturu juzi, wakati walipoandaliwa futari na Kampuni ya Montage, ya jijini Dar es Salaam. Kulia anayewahudumia ni Mkurugenzi wa kampuni hiyo, Teddy Mapunda. (Picha zote na Kassim Mbarouk-www.bayana.blogspot.com)
Baadhi ya yatima wa vituo vya SOS Children's Villages Tanzania, tawi la Ubungo, wakichukua chakula kwa ajili ya kufuturu juzi, wakati walipoandaliwa futari na Kampuni ya Montage, ya jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya yatima wa kiume wa vituo vya SOS Children's Villages Tanzania, tawi la Ubungo, wakifuturu juzi, wakati walipoandaliwa futari na Kampuni ya Montage, Makao Makuu ya kampuni hiyo, yaliyopo maeneo ya Leaders Club, jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya yatima wa kiume wa vituo vya SOS Children's Villages Tanzania, tawi la Ubungo, wakifuturu, wakati walipoandaliwa futari na Kampuni ya Montage, Makao Makuu ya kampuni hiyo, yaliyopo maeneo ya Leaders Club, jijini Dar es Salaam juzi.
Yatima wa kiume wa vituo vya SOS Children's Villages Tanzania, tawi la Ubungo, wakifuturu, wakati walipoandaliwa futari na Kampuni ya Montage, Makao Makuu ya kampuni hiyo, yaliyopo maeneo ya Leaders Club, jijini Dar es Salaam juzi.
Baadhi ya yatima wa vituo vya SOS Children's Villages Tanzania, tawi la Ubungo, wakifuturu kwenye hafla ya futari iliyoandaliwa na Kampuni ya Montage, Makao Makuu ya kampuni hiyo, yaliyopo maeneo ya Leaders Club, jijini Dar es Salaam juzi.
Baadhi ya yatima wa kike wa vituo vya SOS Children's Villages Tanzania, tawi la Ubungo, wakifuturu kwenye hafla ya futari iliyoandaliwa na Kampuni ya Montage, Makao Makuu ya kampuni hiyo, yaliyopo maeneo ya Leaders Club, jijini Dar es Salaam juzi.
Baadhi ya yatima wa kike wa vituo vya SOS Children's Villages Tanzania, tawi la Ubungo, wakifuturu kwenye hafla ya futari iliyoandaliwa na Kampuni ya Montage, Makao Makuu ya kampuni hiyo, yaliyopo maeneo ya Leaders Club, jijini Dar es Salaam juzi.
Baadhi ya yatima wa kiume wa vituo vya SOS Children's Villages Tanzania, tawi la Ubungo, wakifuturu kwenye hafla ya futari iliyoandaliwa na Kampuni ya Montage, Makao Makuu ya kampuni hiyo, yaliyopo maeneo ya Leaders Club, jijini Dar es Salaam juzi.
Mdau wa Kampuni ya Montage (katikati), akipiga picha na yatima mapacha wa vituo vya SOS Children's Villages Tanzania, tawi la Ubungo, mara baada ya kumaliza kufuturu katika hafla ya futari iliyoandaliwa na kampuni hiyo, Makao Makuu ya Kampuni, yaliyopo maeneo ya Leaders Club, jijini Dar es Salaam juzi.
Mkurugenzi wa Kampuni ya Montage, Teddy Mapunda (katikati), akipiga picha na yatima mapacha wa vituo vya SOS Children's Villages Tanzania, tawi la Ubungo, mara baada ya kumaliza kufuturu katika hafla ya futari aliyowaandalia yatima wa kituo hicho, Makao Makuu ya Kampuni, yaliyopo maeneo ya Leaders Club, jijini Dar es Salaam juzi.
Mkurugenzi wa Kampuni ya Montage, Teddy Mapunda (katikati mwenye nguo nyeusi), akipiga picha na baadhi ya yatima mapacha wa vituo vya SOS Children's Villages Tanzania, tawi la Ubungo, mara baada ya kumaliza kufuturu katika hafla ya futari aliyowaandalia, Makao Makuu ya Kampuni, yaliyopo maeneo ya Leaders Club, jijini Dar es Salaam juzi.
Mkurugenzi wa Kampuni ya Montage, Teddy Mapunda (katikati), akipiga picha na baadhi ya yatima wa kiume wa vituo vya SOS Children's Villages Tanzania, tawi la Ubungo, mara baada ya kumaliza kufuturu katika hafla ya futari aliyowaandalia, Makao Makuu ya kampuni hiyo, yaliyopo maeneo ya Leaders Club, jijini Dar es Salaam juzi.
Mkurugenzi wa Kampuni ya Montage, Teddy Mapunda (katikati mwenye nguo nyeusi), akipiga picha na baadhi ya yatima wa kike wa vituo vya SOS Children's Villages Tanzania, tawi la Ubungo, mara baada ya kumaliza kufuturu katika hafla ya futari, aliyowaandalia, Makao Makuu ya Kampuni, yaliyopo maeneo ya Leaders Club, jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi wa Kampuni ya Montage, Teddy Mapunda (katikati mwenye nguo nyeusi), akipiga picha na baadhi ya yatima mapacha wa kike wa vituo vya SOS Children's Villages Tanzania, tawi la Ubungo, mara baada ya kumaliza kufuturu katika hafla ya futari iliyoandaliwa na kampuni hiyo, Makao Makuu, yaliyopo maeneo ya Leaders Club, jijini Dar es Salaam juzi.
Mkurugenzi wa Kampuni ya Montage, Teddy Mapunda, akizungumza na baadhi ya yatima wa vituo vya SOS Children's Villages Tanzania, tawi la Ubungo, mara baada ya kumaliza kufuturu katika hafla ya futari iliyoandaliwa na kampuni hiyo, Makao Makuu, yaliyopo maeneo ya Leaders Club, jijini Dar es Salaam juzi. Kushoto ni Mkurugenzi wa kituo hicho, Angolwisye Mwollo-Ntalima.
Mkurugenzi wa Taifa wa vituo vya SOS Children's Villages Tanzania, Anatoli Rugaimukamu akizungumza na yatima wa kituo cha Ubungo, mara baada ya kumaliza kufuturu katika hafla ya futari, iliyoandaliwa na Kampuni ya Montage, Makao Makuu, maeneo ya Leaders Club, jijini Dar es Salaam juzi.
Yatima wa Kituo cha Ubungo, wakinyanyua mikono kutaka kujibu baadhi ya maswali waliyoulizwa na Mkurugenzi wa Kituo cha SOS cha Ubungo, mara baada ya kumaliza kufuturu katika hafla ya futari iliyoandaliwa na Kampuni ya Montage, Makao Makuu ya kampuni hiyo, maeneo ya Leaders Club, jijini Dar es Salaam juzi.
Mkurugenzi wa Kampuni ya Montage, Teddy Mapunda, akiagana na yatima wa vituo vya SOS Children's Villages Tanzania, tawi la Ubungo, alipokuwa akizungumza nao, mara baada ya kumaliza hafla ya futari, aliyowaandalia Makao Makuu ya kampuni hiyo, yaliyopo maeneo ya Leaders Club, jijini Dar es Salaam.
Mmoja wa yatima wa kituo cha SOS, tawi la Ubungo, akitoa shukurani za kituo hicho kwa Mkurugenzi wa Kampuni ya Montage, Teddy Mapunda (wapili kulia), mara baada ya kumalizika kwa hafla ya futari, waliyoandaliwa na kampuni hiyo, Makao Makuu, yaliyopo maeneo ya Leaders Club, jijini Dar es Salaam juzi.
Mkurugenzi wa Kampuni ya Montage, Teddy Mapunda, akizungumza na baadhi ya viongozi wa vituo vya yatima vya SOS Children's Villages Tanzania, wakati akiagana nao, mara baada ya kumaliza hafla ya futari, aliyowaandalia yatima wa kituo cha Ubungo, katika hafla ilyofanyika, Makao Makuu ya Kampuni, yaliyopo maeneo ya Leaders Club, jijini Dar es Salaam juzi.

No comments:

Post a Comment