TANGAZO

Saturday, July 19, 2014

Maalim Seif, Profesa Lipumba wafuturu na wananchi wa Piki, kisiwani Pemba

Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF) Taifa, Prof. Ibrahim Lipumba (katikati), Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad na viongozi mbali mbali, wakiungana na wananchi wa kijiji cha Piki, Wilaya ya Wete Katika futari ya pamoja na wanakijiji hao.
Viongozi mbalimbali wakiwa katika swala ya Magharibi katika viwanja vya Skuli ya Piki, Wilaya ya Wete, kisiwani Pemba. 
Wananchi wa kijiji cha Piki wakijumuika pamoja katika futari iliyoandaliwa na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad.

No comments:

Post a Comment