Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Watu wa China, Li Yuanchao, akizungumza katika hafla ya miaka 50 ya ushirikiano wa Kidiplomasia kati ya Tanzania na China, Dar es Salaam jana. (Picha zote na Kassim Mbarouk-www.bayana.blogspot.com)
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Watu wa China, Li Yuanchao, akizungumza katika hafla ya miaka 50 ya ushirikiano wa Kidiplomasia kati ya Tanzania na China, Dar es Salaam jana. Wapili kulia ni Makamu wa Rais wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Watu wa China, Li Yuanchao, akizungumza katika hafla ya miaka 50 ya ushirikiano wa Kidiplomasia kati ya Tanzania na China, Dar es Salaam jana.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Watu wa China, Li Yuanchao, akizungumza katika hafla ya miaka 50 ya ushirikiano wa Kidiplomasia kati ya Tanzania na China, Dar es Salaam jana.
Baadhi ya raia wa China, wakiwa katika hafla ya ya miaka 50 ya ushirikiano wa Kidiplomasia kati ya Tanzania na China, jijini Dar es Salaam jana.
Baadhi ya raia wa China, wakiwa katika hafla ya ya miaka 50 ya ushirikiano wa Kidiplomasia kati ya Tanzania na China, jijini Dar es Salaam jana.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Watu wa China, Li Yuanchao, akimkaribisha Makamu wa Rais wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal kwenda kukata keki kwa pamoja katika hafla hiyo, ya miaka 50 ya ushirikiano wa Kidiplomasia kati ya Tanzania
na China, Dar es Salaam jana.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Watu wa China, Li Yuanchao, akimkaribisha
Makamu wa Rais wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal kwenda kukata keki
kwa pamoja katika hafla hiyo, ya miaka 50 ya ushirikiano wa
Kidiplomasia kati ya Tanzania
na China, Dar es Salaam jana.
Makamu wa Rais wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal (kulia) na Makamu mwenzake wa Jamhuri ya Watu wa China, Li Yuanchao, wakikata keki kwa ajili ya maadhimisho ya miaka 50 ya ushirikiano wa Kidiplomasia kati ya Tanzania na China, Dar es Salaam jana.
No comments:
Post a Comment