TANGAZO

Wednesday, June 25, 2014

Mama Maria Nyerere awaasa wanawake wajasiliamali kujiamini

Mkurugenzi  Mtendaji wa Mfuko wa Fursa Sawa Kwa Wote (EOTF), Ndugu, Stephen Emmanuel akimkaribisha Mwenyekiti wa EOTF, Mama Anna Mkapa (hayuko pichani) juzi, tarehe 23/06/2014, wakati wa Ufunguzi wa Semina kwa Wanawake Wajasiliamali kutoka Mikoa yote ya Tanzania Bara na Zanzibar. Mafunzo hayo yanalenga kumsaidia Mwanamke kukabiliana na changamoto za Ujasiliamali.
Wanawake kutoka Mikoa Mbalimbali ya Tanzania Bara na Zanzibar wakiwa katika Ufunguzi wa Semina ya Mafunzo ya Wajasilaimali, Mafunzo ni ya muda wa siku tatu kuanzia Juni 23-25/2014, kuanzia saa 2  asubuhi  katika ukumbi wa Bwalo la Maafisa wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) Mgulani jijini Dar es Salaam.

Mwenyekiti wa EOTF, Mama Anna Mkapa, akitoa utangulizi wa Mafunzo na utambulisho kwa waalikwa, wakati wa ufunguzi wa Mafunzo ya siku tatu kwa Wanawake Wajasiliamali, kuanzia Juni 23-25/2014, kuanzia saa 2 asubuhi  katika ukumbi wa Bwalo la Maafisa wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) Mgulani jijini Dar es Salaam juzi.
Wanawake kutoka Mikoa Mbalimbali ya Tanzania Bara na Zanzibar wakiwa katika Ufunguzi wa Semina ya Mafunzo ya Wajasilaimali, Mafunzo ni ya muda wa siku tatu kuanzia Juni 23-25/2014, kuanzia saa 2  asubuhi  katika ukumbi wa Bwalo la Maafisa wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) Mgulani jijini Dares Salaam.
Mama Maria Nyerere akitoa nasaa wakati wa Ufunguzi wa Semina kwa Wanawake Wajasiliamali kutoka Mikoa yote ya Tanzania, akiwa ni Mwanamke Mjasiliamali pia, amewahakikishia wanawake mafanikio iwapo watajiamini na kumsirikisha Mungu katika kazi zao.

Mgeni rasmi, Mwenyekiti wa IPP, Dkt. Reginald Mengi (aliayevaa Suti), akiwasili katika Ufunguzi wa Semina ya Mafunzo kwa Wanawake Wajasiliamali, Mbele ya Msafara ni Mama Maria Nyerere na Mwenyekiti wa EOTF Mama Anna Mkapa. Semina kwa Wajasiliamali imeandaliwa na Mfuko wa Fursa Sawa Kwa wote(EOTF), Mafunzo ni ya muda wa siku tatu kuanzia Juni 23-25/2014, kuanzia saa2  asubuhi  katika ukumbi wa Bwalo la Maafisa wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) Mgulani jijini Dares Salaam.

No comments:

Post a Comment