TANGAZO


Tuesday, June 17, 2014

Mkutano wa Kimataifa kuhusu matunda ya teknolojia mpya ya upashanaji wa habari kufanyika jijini Dar

Mhadhiri Mwandamizi katika Shule Kuu ya Uandishi wa Habari na Mawasiliano ya Umma (SJMC), Charles Irigo (katikati) ambaye ni Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya mkutano wa Kimataifa kuhusu matunda ya teknolojia mpya ya upashanaji wa habari, akizungumza na waandishi wa habari kuhusu mkutano huo, jijini Dar es Salaam leo, katika ukumbi wa mikutano wa Idara ya Habari (MAELEZO). Kulia ni Mhariri wa Mlimani Media, Hamis Dambaya na kushoto ni Mhariri wa Mlimani Media, Amini Mgeni.
Baadhi ya waandishi wa habari, wakimsikiliza Mhadhiri Mwandamizi katika Shule Kuu ya Uandishi wa Habari na Mawasiliano ya Umma (SJMC), Charles Irigo (hayupo pichani), wakati alipozungumza nao kuhusu mkutano huo wa kimataifa. (Picha zote na Magreth Kinabo – Maelezo)

No comments:

Post a Comment