TANGAZO


Tuesday, June 17, 2014

Warembo wa Kinyang'anyiro cha Redd's Miss Pwani waanza kujitokeza

 Aliyepozi kwa picha ni Mrembo Merry Samwel (19), ambaye yuko mwaka wa kwanza Chuo cha Dar es Salaa City College.
 Mrembo Roxsana Msangi (21), yuko mwaka wa pili katika Chuo xha Dar es Salaam City College, akichukua Diploma ya Mass Communication. 
 Mrembo Khadija Sihaba (20), yuko mwaka wa kwanza akisoma masomo ya ngazi ya Cheti katika Chuo cha Institute of Procurement and Supply.
 Mrembo Mary Mpelo (20), anachukua Diploma akiwa katika mwaka wa pili katika masomo ya Community Development, Chuo cha Dar es Salaam City College. 
Mrembo Glory Jige (19), yuko mwaka wa pili, akichukua masomo ya Information Technology katika Chuo cha Max Millian College.
 Mrembo Arafa Shaaban (19), anachukua masomo ya Community Development, akiwa mwaka wa pili akichukua Diploma katika Chuo cha Dar es Salaam City College. 
 Mrembo Princess Kitogo (18), yuko kidato cha nne. 
Baadhi ya warembo wa Miss Pwani wakipozi kwa picha kwenye mzunguko wa Mitaa ya Makunganya na Indira Gadhi, Dar es Salaam leo.
Baadhi ya warembo hao wa Miss Pwani wakipozi kwa picha kwenye mzunguko wa mitaa ya Makunganya na Indira Gadhi, Dar es Salaam leo. (Picha zote na Kassim Mbarouk-www.bayana.blogspot.com)

No comments:

Post a Comment