TANGAZO

Tuesday, June 17, 2014

Makamu wa Rais wa Jamhuri wa Watu wa China, Li Yuanchao kuzuru Tanzania

Balozi wa China nchini,Lu Youging (kulia) akizungumza na waandishi wahabarikuhusu ziara ya Makamu wa Rais wa Jamhuri wa Watu wa China Mhe. Li Yuanchao katika ukumbi wa mikutano wa Idara ya Habari (MAELEZO) leo jijini Dares Salaam.Kushoto ni Balozi wa Tanzania nchini China, Luteni Jenerali Mstaafu Abdulrahman Shimbo. (Picha zote na Idara ya Habari, Maelezo.
Balozi wa China nchini, Lu Youging (kulia) akizungumza na waandishi wa habari, kuhusu ziara ya Makamu wa Rais wa Jamhuri wa Watu wa China, Mhe. Li Yuanchao katika ukumbi wa mikutano wa Idara ya Habari (MAELEZO) leo, jijini Dares Salaam. Kushoto ni Balozi wa Tanzania nchini China, Luteni Jenerali Mstaafu Abdulrahman Shimbo na kulia ni  Katibu wa Ubalozi  wa China nchini, Ren Zhihong.

Baadhi ya waandishi wa habari wakimsikiliza Balozi wa China nchini, Lu Youging.
Balozi wa China nchini, Lu Youging (kulia) akizungumza na waandishi wa habari kuhusu ziara ya Makamu wa Rais wa Jamhuri wa Watu wa China, Mhe. Li Yuanchao katika ukumbi wa mikutano wa Idara ya Habari (MAELEZO) leo, jijini Dares Salaam. Kushoto ni Balozi wa Tanzania nchini China, Luteni Jenerali Mstaafu Abdulrahman Shimbo na watatu kutoka kushoto ni  Mkurugenzi wa Idara ya Asia na Australia kutoka Wizara ya Mambo ya Nje na Ushiruikiano wa Kimataifa.

No comments:

Post a Comment