TANGAZO


Sunday, June 22, 2014

Makamu wa Rais wa China atua Dar es Salaam kwa ndege ndogo ya kukodi

Makamu wa Rais, Dk. Mohamed Gharib Bilal, akimlaki Makamu wa Rais wa China, Li Yuanchao alipowasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere, Dar es Salaam kwa ajli ya ziara ya siku sita nchini.Yuanchao amewasili jioni hii kwa ndege ndogo ya kukodi  akitokea Arusha ambako jana alitua Uwanja wa Ndege wa KIA. (Picha zote na Kamanda wa Matukio blog)
Uanchao akikagua gwaride huku akisindikizwa na Makamu wa Rais Dk. Gharib Bilal.
Bendera za Taifa za Tanzania na China zikipepea Uwanja wa Ndege. 
Mwenyekiti wa CCM, Mkoa wa Dar es Salaam, Ramadhan Madabida (katikati) akiwa na Mkuu wa Wilaya ya Temeke (Sofia Mjema (kushoto) pamoja na Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk. Fenella Mkangala wakisubili kumlaki Makamu wa Rais wa China usiku wa leo Uwanja wa Ndege.
 Dk. Bilal akiwa na mgeni wake, Yuanchao wa China
 Yuanchao akisalimiana na baadhi ya viongozi waliofika kumlaki


Yuanchao akiwapungia mkono wasanii wa ngoma za utamaduni waliotumbuiza katika hafla ya mapokezi.
Kikundi cha sanaa ikiktumbuiza wakati wa mapokezi ya Yuanchao. 

No comments:

Post a Comment