Ofisa Misitu Mkuu kutoka Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania
Edward Mlowe akiwaeleza waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam mikakati
ya kuendeleza mashamba ya miti ya serikali na upandaji miti kwa jamii.
Ofisa Misitu Mkuu kutoka Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania
Charles Ng’atigwa akitoa wito kwa wananchi kuhusu utunzaji wa misitu iliyopo na
upandaji wa misitu mipya kwa manufaa ya vizazi vilivyopo na vya baadae. Kulia
ni Ofisa Misitu Mkuu wa Wakala huo, Edward Mlowe.
No comments:
Post a Comment