Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC)
Clement Mshana akiwaeleza waandishi wa habari leo, jijini Dar es Salaam kuhusu
mchakato wa kuwapata washindi watano watakaokwenda kuangalia michuano ya Kombe
la Dunia nchini Brazil kupitia promosheni ya Kwea Pipa inayoendeshwa na TBC kwa
kushirikiana na makampuni ya Push Mobile
Media Ltd na Star Times Ltd. Kushoto ni Naibu Mkurugenzi Mkuu Masoko na Mauzo
kutoka Star Times Jack Zhou na kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa Push Mobile Media
Ltd Freddie Manento.
|
No comments:
Post a Comment