Wauguzi wa kituo cha Afya cha Kiembesamaki wakimskiliza mwakilishi wa Jimbo hilo Mhe. Mahmoud Thabit Kombo (hajupo pichani)alipoende kutembelea kituoni hapo.
Muuguzi dhamana wa Kituo cha Afya cha Kiembe Samaki, mjini Zanzibar, Bi. Azida Othman akielezea changamoto wanazokabiliana nazo kituoni hapo, ikiwa pamoja na kukosa Daktari dhamana wa kituo hicho kwa mda sasa, wa mwanzo kulia Diwani wa Jimbo la Kiembesamaki Bw. Kharib Mohammed na wakatikati ni Mhe. Mahmoud Thabit Kombo.
Mwakilishi wa Jimbo la Kiembesamaki Zanzibar, Mahmoud Thabit Kombo (kushoto), akiteta jambo na Diwani wake Bw. Gharib Mohammed.
Mwakilishi wa Jimbo la Kiembesamaki Mhe. Mahmoud Thabit Kombo akizungumza na Kamati ya Afya yakituo hicho na Wauguzi alipoenda kutembelea kituo hicho, ili kujua changamoto wanazokabiliana nazo ili kuzipatia ufumbuzi. (Picha zote na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar)
No comments:
Post a Comment