TANGAZO


Saturday, May 17, 2014

Mahafali ya 27 ya Chuo na ya 26 ya Sekondari ya Kiislamu ya Al-Haramain jijini Dar es Salaam

Wahitimu wa Diploma ya Ualimu wa Chuo cha Kiislamu cha Al-Haramain, wakiwa kwenye mahafali yao ya 27, chuoni hapo, jijini Dar es Salaam leo, ambapo mgeni rasmi katika mahafali hayo, alikuwa ni Naibu Kadhi Mkuu wa Tanzania, Sheikh Aboubakar Zubeir. (Picha zote na Kassim Mbarouk-www.bayana.blogspot.com)
Wahitimu wa Diploma ya Ualimu wa Chuo cha Kiislamu cha Alharamain, wakiwa kwenye mahafali yao ya 27, chuoni hapo leo, ambapo mgeni rasmi katika mahafali hayo, alikuwa ni Naibu Kadhi Mkuu wa Tanzania, Sheikh Aboubakar Zubeir.
Kaimu Mkurugenzi wa Chuo cha Kiislamu na Mkuu wa Shule ya Alharamain, Nuhu Jabir (kulia),  akizungumza jambo na Mgeni rasmi, Naibu Kadhi Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Sheikh Aboubakar Zubeir, wakati wa mahafali hayo, jijini Dar es Salaam leo.
Wahitimu wa Grade A wa Ualimu wa Chuo cha Kiislamu cha Al Haramain, wakiwa kwenye mahafali yao, jijini Dar es Salaam leo.
Wahitimu wa Ualimu wa shule za Awali, Zakia Ally (kushoto) na Sakina Sheggy (kulia), wakighani utenzi wakati wa mahafali yao hayo ya 27, chuoni hapo leo.
Mhitimu wa Diploma ya Ualimu, Yussuf Samson, akisoma risala yao katika mahafali hayo. Anayemsaidia ni mhitimu mwenzake Hussein Athuman.
Wahitimu wa Kidato cha Sita, Fatuma Masoud (kulia), akisoma risala yao, kwenye mahafali hayo. Anayemsaidia (kushoto) ni Thuwaiba Suleiman.
Mkuu Msaidizi wa Chuo cha Ualimu cha Kiislamu cha Al-Haramain, Mwalimu Ramadhan Kingalu, akizungumza wakati alipokuwa akitoa usia wake kwa wahitimu hao.
Baadhi ya wazazi na ndugu za wahitimu wakiwa katika mahafali hayo leo.
Wahitimu wa Ualimu wa shule za Awali, wakighani Kaswida  wakati wa mahafali yao hayo, ya 27, chuoni hapo leo.
Wahitimu wa Ualimu wa shule za Awali, wakighani Kaswida  wakati wa mahafali yao hayo, ya 27, huku paparazi wakichukua picha za matukio.
Kaimu Mkurugenzi wa Chuo cha Kiislamu na Mkuu wa Shule ya Alharamain, Nuhu Jabir, akizungumza wakati wa mahafali hayo. Kulia kwake ni mgeni rasmi wa mahafali hayo, Naibu Kadhi Mkuu Sheikh Aboubakar Zubeir.
Mgeni rasmi katika mahafali hao, Naibu Kadhi Mkuu, Sheikh Aboubakar Zubeir, akizungumza na wahitimu pamoja na wageni mbalimbali waliohudhuria katika mahafali hayo. Kulia ni Kaimu Mkurugenzi wa Chuo cha Kiislamu na Mkuu wa Shule ya Alharamain, Nuhu Jabir na kushoto ni Mkuu Msaidizi wa chuo hicho, Mwalimu Ramadhani Kingalu.
Viongozi mbali kwenye meza kuu wakiwa wamesimama tayari kwa kutunuku vyeti pamoja na zawadi mbalimbali kwa wahitimu hao.
Mgeni rasmi katika mahafali hao, Naibu Kadhi Mkuu, Sheikh Aboubakar Zubeir, akimtunuku vyeti, mhitimu Fatuma Afif, cha Uongozi na Usafi na cha kumaliza Kidato cha Sita.
Mgeni rasmi katika mahafali hao, Naibu Kadhi Mkuu, Sheikh Aboubakar Zubeir, akimtunuku vyeti, mhitimu Fatuma Sanani, cha Nidhamu na cha kumaliza Kidato cha Sita.

Mgeni rasmi katika mahafali hao, Naibu Kadhi Mkuu, Sheikh Aboubakar Zubeir, akimtunuku vyeti, mhitimu Jokha Masoud, cha Uongozi Bora na cha kumaliza Kidato cha Sita.
Mgeni rasmi katika mahafali hao, Naibu Kadhi Mkuu, Sheikh Aboubakar Zubeir, akimtunuku cheti cha kumaliza Kidato cha Sita mhitimu Khamis Mbilu.

Mgeni rasmi katika mahafali hao, Naibu Kadhi Mkuu, Sheikh Aboubakar Zubeir, akimtunuku vyeti, mhitimu Saida Aboghast, cha Mahudhurio na Uongozi Bora shuleni na cha kumaliza Kidato cha Sita.
Mgeni rasmi katika mahafali hao, Naibu Kadhi Mkuu, Sheikh Aboubakar Zubeir, akimtunuku vyeti, mhitimu Sajad Bimani cha kuwa mwanafunzi Bora kwa masomo ya Chemistry na Physics pia cha kumaliza Kidato cha Sita.
Baadhi ya wahitimu wa Kidato cha Sita, wakiwa kwenye mahafali yao ya 26.


Mgeni rasmi katika mahafali hao, Naibu Kadhi Mkuu, Sheikh Aboubakar Zubeir, akimtunuku cheti, mhitimu wa Ualimu wa Shule za Awali, Nasra Seif, wakati wa mahafali hayo.


Mgeni rasmi katika mahafali hao, Naibu Kadhi Mkuu, Sheikh Aboubakar Zubeir, akimtunuku cheti, mhitimu wa Ualimu wa Shule za Awali, Ujudi Ubwa.
Mgeni rasmi katika mahafali hao, Naibu Kadhi Mkuu, Sheikh Aboubakar Zubeir, akimtunuku cheti, mhitimu wa Ualimu wa Shule za Awali, Sakina Shegy.


Wahitimu wa Diploma ya Ualimu wakiwa katika mahafali yao ya 27 ya chuo hicho, jijini leo. 
Mgeni rasmi katika mahafali hao, Naibu Kadhi Mkuu, Sheikh Aboubakar Zubeir, akimtunuku cheti mhitimu wa Ualimu wa Grade A, Hussein Athuman.

Mgeni rasmi katika mahafali hao, Naibu Kadhi Mkuu, Sheikh Aboubakar Zubeir, akimtunuku cheti mhitimu wa Ualimu wa Grade A, Erasto Novati.


Mgeni rasmi katika mahafali hao, Naibu Kadhi Mkuu, Sheikh Aboubakar Zubeir, akimtunuku cheti mhitimu wa Ualimu wa Grade A, Annuar Bakar katika mahafali hayo.
Mgeni rasmi katika mahafali hao, Naibu Kadhi Mkuu, Sheikh Aboubakar Zubeir, akimtunuku cheti cha Diploma ya Ualimu, Hussein Hamad Ali.
Mgeni rasmi katika mahafali hao, Naibu Kadhi Mkuu, Sheikh Aboubakar Zubeir, akimtunuku cheti cha Diploma ya Ualimu,  Mariam Rashid.

Mgeni rasmi katika mahafali hao, Naibu Kadhi Mkuu, Sheikh Aboubakar Zubeir, akimtunuku cheti cha Diploma ya Ualimu,  Zuberi Salum.

Sheikh Ramadhan Pazi (kushoto), akisoma Dua ya kumalizia hafla hiyo, pamoja na mgeni rasmi, viongozi na walimu waliokuwepo kwenye Meza Kuu katika mahafali hayo, chuoni hapo leo.

No comments:

Post a Comment