TANGAZO


Saturday, May 17, 2014

Waziri wa Katiba na Sheria, Dk. Asha Rose Migiro apokea Taarifa ya Mapitio ya Mfumo wa Utatuzi wa Migogoro ya Ardhi Tanzania

Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Dk Asha Rose Migiro akipokea Taarifa juu ya Mapitio ya Mfumo wa Utatuzi wa Migogoro ya Ardhi Tanzania (Review of Legal Framework governing Land Dispute Settlement in Tanzania) kutoka kwa Mwenyekiti wa Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania, Mhe Jaji Aloysius Mujulizi wakati wa hafla fupi ya kukabishi taarifa hiyo, iliyofanyika mkoani Dodoma jana. Kulia ni Katibu Mtendaji wa Tume, Bi. Winfrida Korosso. 
Waziri wa Katiba na Sheria, Mhe. Dk Asha Rose Migiro akiionesha Taarifa juu ya Mapitio ya Mfumo wa Utatuzi wa Migogoro ya Ardhi Tanzania (Review of Legal Framework governing Land Dispute Settlement in Tanzania) baada ya kukabidhiwa na Mwenyekiti wa Tume ya Kurekebisha Sheria Mhe. Jaji Aloysius Mujulizi mkoani Dodoma jana. (Picha zote na Munir Shemweta wa Tume)

No comments:

Post a Comment