*Yatoka sare na Gunners
Aron Michael (kushoto) wa CDA akimiliki mpira mbele ya mchezaji wa Gunners, wakati wa mchezo wa kuamua bingwa wa Mkoa wa Dodoma, Uwanja wa Jamhuri jana, ambapo katika mchezo huo, CDA waliibuka bingwa wa Mkoa wa Dodoma baada ya kufikisha jumla ya pointi 13 dhidi ya 10 za Gunners. (Picha zote na John Banda)Mchezaji wa timu ya CDA, Dotto Maheche (kulia), akipiga mpira kuelekezwa katika lango la Gunners huku Shaff Kanuani akijaribu kumkaba, katika mchezo wa mwisho uliowapa CDA ubingwa wa Mkoa baada ya kutoka suluhu ya bila kufungana.
Mashabiki wa timu zote mbili wakishangilia kwa kila wakati mchezo huo, ulipokuwa ukiendelea ambapo kila timu ilikuwa ikisaka ushindi ili kuibuka bingwa.
Mashabiki wa timu zote mbili wakifuatilia mchezo huo, uliochezwa Uwanja wa Jamhuri, mjini Dodoma jana.
Mashabiki wa timu zote mbili wakifuatilia mchezo huo, uliochezwa Uwanja wa Jamhuri, mjini Dodoma jana.
No comments:
Post a Comment