Mtaaluma Mkuu wa Chuo Cha Afya Iringa, Dkt John Mosha akizungumza jambo na wakufunzi (hawapo pichani ) wa mafunzo ya Uongozi katika Mkakati wa Mawasiliano ya Afya (Leadership in Strategic Health Communication), yanayofadhiliwa na Serikali ya Marekani kupitia mradi wa Tanzania Capacity and Communication Project (TCCP), wakati wa kuhitimisha semina hiyo leo, mjini Iringa. Kushoto ni Mwezeshaji Kiongozi wa mafunzo hayo, Catherine Gembe.
Washiriki wa mafunzo ya
wiki mbili kuhusu Uongozi katika Mkakati wa Mawasiliano ya Afya,
yanayofadhiliwa na Serikali ya Marekani kupitia mradi wa Tanzania Capacity and Communication Project (TCCP), wakiwa katika picha ya pamoja
mara baada kuhitimu mafunzo hayo, yaliyomalizika leo, mjini Iringa.
No comments:
Post a Comment