Katibu Muhutasi wa Katibu wa Bunge, Lyidia Mwaipyana, akimkabidhi fomu za kuwania nafasi ya Uwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, mjumbe wa bunge hilo, Samuel Sitta, Ofisi za Bunge,mjini Dodoma leo. Katikati ni mmoja wa wadhamini wake, Khamis Kingwangw. (Picha zote na Kassim Mbarouk-www.bayana.blogspot.com)
Mgombea wa nafasi ya Uwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, mjumbe wa bunge hilo, Waziri wa Afrika Mashariki, Samuel Sitta, akizionesha fomu za kuwania nafasi hiyo, baada ya kukabidhiwa na Katibu Muhutasi wa Katibu wa Bunge, Lyidia Mwaipyana (hayupo pichani), Ofisi za Bunge, mjini Dodoma leo. Kushoto ni wadhamini wake, wajumbe wabunge hilo, Khamis Kingwangala na kulia ni Paul Makonda.
Katibu Muhutasi wa Katibu wa Bunge, Lyidia Mwaipyana (kushoto), akimuelekeza jambo mgombea wa nafasi ya Uwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, mjumbe wa bunge hilo, Waziri wa Afrika Mashariki, Samuel Sitta, Ofisi za Bunge, mjini Dodoma, baada ya kujitokeza kuchukua fomu hizo leo. Wa pili kushoto ni mmoja wa wadhamini wake, Khamis Kingwangala na kulia ni mdhamini mwingine Paul Makonda.
Mgombea wa nafasi ya Uwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, mjumbe wa
bunge hilo, Waziri wa Afrika Mashariki, Samuel Sitta, akiziangalia fomu za kuwania nafasi hiyo, baada ya kukabidhiwa na Katibu Muhutasi wa Katibu wa Bunge, Lyidia Mwaipyana (kushoto), Ofisi za Bunge,
mjini Dodoma, baada ya kujitokeza kuchukua fomu hizo leo. Wa pili
kushoto ni mmoja wa wadhamini wake, Khamis Kingwangala na kulia ni
mdhamini mwingine Paul Makonda.
Mgombea wa nafasi ya Uwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, mjumbe wa
bunge hilo, Waziri wa Afrika Mashariki, Samuel Sitta, akizungumza na waandishi wa habari, mara baada ya kuchukua fomu za kuwania nafasi hiyo, Ofisi za Bunge,
mjini Dodoma leo.
Mgombea wa nafasi ya Uwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, mjumbe wa
bunge hilo, Waziri wa Afrika Mashariki, Samuel Sitta, akieleza sera zake, wakati alipokuwa akizungumza na
waandishi wa habari, mara baada ya kuchukua fomu za kuwania nafasi hiyo,
Ofisi za Bunge,
mjini Dodoma leo.
Mgombea wa nafasi ya Uwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, mjumbe wa
bunge hilo, Waziri wa Afrika Mashariki, Samuel Sitta, akijibu maswali ya waandishi wa habari, wakati alipozungumza nao, mara baada ya kuchukua fomu za kuwania nafasi hiyo,
Ofisi za Bunge,
mjini Dodoma leo.
No comments:
Post a Comment