TANGAZO


Saturday, March 22, 2014

Rais wa Zanzibar Dk. Shein, azinduwa matembezi ya UVCCM, kusherehekea miaka 50 ya Muungano mjini Dodoma

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, ambaye pia ni Makamo Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na wajumbe wa Halmashauri Kuu chama hicho Taifa na wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba, alipowasili viwanja vya Makamo Makuu ya CCM, mjini Dodoma leo, kuzindua matembezi ya Vijana wa chama hicho (UVCCM), katika kuadhimisha miaka 50 ya Muungano wa Tanzania,
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, ambaye pia ni Makamo Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na wajumbe hao, wakati wa matembezi hayo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, ambaye pia ni Makamo Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Sheina, kibonyeza kitufe kuashiria uzinduzi wa matembezi ya vijana katika kuadhimisha miaka 50 ya Muungano wa Tanzania, uzinduzi huo uliofanyika leo, katika viwanja vya Makao Makuu ya CCM, mjini Dodoma leo.
Mwenyekiti wa UVCCM Taifa, Sadifa Juma Khamis (kushoto) na Katibu Mkuu wa jumuiya hiyo, Sixtos Mapunda wakipeperusha bendera za Muungano na CCM, wakati wa uzinduzi wa matembezi ya kuadhimisha miaka 50 ya Muungano wa Tanzania, yaliyozinduliwa leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, ambaye pia ni Makamo Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein, Mjini Dodoma leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, ambaye pia ni Makamo Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein (katikati) akiongoza matenbezi ya Umoja wa Vijana (UVCCM), yaliyoanzia Makao Makuu ya CCM, mjini Dodoma. Wa pili kushoto ni Makamo wa Rais, Balozi Seif Ali Iddi, Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar, Vuai Ali Vuai (wa pili kulia) na Mama Asha Balozi.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, ambaye pia ni Makamo Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Vijana wa UVCCM, Mkoa Dodoma katika viwanja vya Makamo Makuu ya chama hicho mjini Dodoma leo, wakati alipozindua matembezi ya vijana hao katika kuadhimisha miaka 50 ya Muungano wa Tanzania.
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Taifa, Sadifa Juma Khamis, akisisitiza jambo alipokuwa akimakaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, ambaye pia ni Makamo Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein, kuzungumza na Vijana wa UVCCM wakati wa uzinduzi wa matembezi ya kuadhimisha miaka 50 ya Muungao wa Tanzania, viwanja vya Makao Mkuu, mjini Dodoma leo.
Baadhi ya wajumbe, wanachama na wananchi mbalimbali waliofika viwanjani hapo, wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, ambaye pia ni Makamo Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein, alipokuwa akiwahutubia mjini Dodoma leo.
Wajumbe wakifurahia kwa kupiga makofi hutuba iliyokuwa ikitolewa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, ambaye pia ni Makamo Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein, katika uzinduzi huo.
Vijana wa UVCCM Mkoa wa Dodoma, wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, ambaye pia ni Makamo Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein, alipozungumza nao wakati wa uzinduzi wa matembezi ya maadhimisho hayo.
Vijana wa UVCCM Mkoa wa Dodoma, wakinyanyua mikono juu kuunga mkono msimamo wa CCM wa Serikali mbili, wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, ambaye pia ni Makamo Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein, alipozungumza nao leo, akizindua matembezi ya kuadhimisha miaka 50 ya Muungao wa Tanzania viwanja vya Makao Mkuu Mjini Dodoma leo. (Picha zote na Ramadhani Othman)

No comments:

Post a Comment