TANGAZO


Sunday, March 30, 2014

Dk Shein azindua mradi wa umeme kijiji cha Ukunjwi kisiwani Pemba


IMG_8850Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifungua pazia kuashiria uzinduzi wa Mradi wa Umeme katika Kijiji cha Ukunjwi Mkoa wa Kaskazini Pemba leo.(Picha zote na Ramadhan Othman, Pemba)IMG_8887 Baadhi ya  wananchi wa Kijiji cha Ukunjwi na Vitongoji vya jirani na wafanyakazi wa Shirika la Umeme Zanzibar wakimsikiliza  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein,alipokuwa akizungumza baada ya kuzindua rasmi Mradi wa Umeme katika Kijiji  hicho kiliopo Mkoa wa Kaskazii Pemba leo.IMG_8890Wanafunzi wa Skuli ya Ukunjwi, Wilaya ya Wete, Mkoa wa Kaskazini Pemba, wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, alipokuwa akizungumza na wananchi baada ya kuizindua rasmi Nishati hiyo leo.
 IMG_8922Naibu Katibu wa Mkuu wa Wizara ya Ardhi, Maji na Nishati, Mustafa Aboud Jumbe Mwinyi, akisoma Ripoti ya Wizara wakati wa uzinduzi rasmi wa Mradi wa Umeme katika Kijiji cha Ukunjwi Mkoa wa Kaskazini Pemba leo.IMG_8976Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, alipokuwa akizungumza na wananchi wa Kijiji cha Ukunjwi na Vijiji vya jirani wakati wa sherehe za uzinduzi wa Mradi wa Umeme uliofanyika leo kijijini hapo, Mkoa wa Kaskazini Pemba.

No comments:

Post a Comment