TANGAZO


Sunday, March 30, 2014

Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahaman Kinana awasili Rukwa kwa ziara ya kuimarisha chama

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana akiwapungia wananchi na wanachama wa chama hicho, alipowasili leo Uwaja wa ndege wa Rukwa kwa ajili ya ziara ya kuimarisha chama. 
Ndege iliyokuwa imembeba Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahaman Kinana, ikiwa kwenye uwanja wa ndege wa Rukwa mara tu baada ya kuwasili uwanjani hapo.
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahaman Kinana, akishuka kwenye ndege hiyo.
Akikumbatiwa mara tu baada ya kuwasili uwanjani hapo na mmoja wa kada wa chama hicho.
Akikumbatiwa baada ya kuvalishwa skafu na chipukizi uwanjani hapo.
Kikundi cha matarumbeta kikitumbuiza wakati Katibu Mkuu, alipowasili uwanjani hapo leo.
Katibu Mkuu, Abdulrahaman Kinana, akifurahia ngoma iliyokuwa ikitumbuiza wakati alipowasili uwanjani hapo leo.
Katibu Mkuu, Abdulrahaman Kinana, akipunga mkono kuwapungia wanachama pamoja na wananchi waliofika kumpokea uwanjani hapo leo.
Wanachama pamojahi wakiwa katika mapokezi hayo,uwanjani hapo leo. 

No comments:

Post a Comment