Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Waziri
wa Mambo ya Nje wa Misri Mhe. Nabil Fahmy alipomtembelea jana, Jumamosi
Februari 22, 2013 jioni Ikulu jijini Dar es salaam. Mhe. Fahmy amefanya
ziara nchini kwa lengo la kuimarisha ushirikiano kati ya nchi hizi
mbili hususan katika nyanja za afya, elimu, uwekezaji na siasa.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipookea ujumbe toka kwa Waziri
wa Mambo ya Nje wa Misri Mhe. Nabil Fahmy alipomtembelea jana, Jumamosi
Februari 22, 2013 jioni Ikulu jijini Dar es salaam. Mhe. Fahmy amefanya
ziara nchini kwa lengo la kuimarisha ushirikiano kati ya nchi hizi mbili
hususan katika nyanja za afya, elimu, uwekezaji na siasa.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika mazungumzo na Waziri
wa Mambo ya Nje wa Misri Mhe. Nabil Fahmy na ujumbe wake
walipomtembelea jana, Jumamosi Februari 22, 2013 jioni Ikulu jijini Dar es
salaam. Mhe. Fahmy amefanya ziara nchini kwa lengo la kuimarisha
ushirikiano kati ya nchi hizi mbili hususan katika nyanja za afya,
elimu, uwekezaji na siasa. (Picha zote na Ikulu Dar)
No comments:
Post a Comment