Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Viongozi alipowasili viwanja vya
Ukumbi wa Salama Bwawani Hotel leo asubuhi katika ufunguzi wa Maabara za
Utalii, Mazingira Bora ya Biashara na upatikanaji wa Rasilimali fedha.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa
akifungua Mkutano wa Maabara za Utalii,Mazingira Bora ya Biashara na Upatikanaji
wa Rasilimali fedha,katika ukumbi wa Salama Bwawani Mjini Unguja leo,(kulia)
Waziri,Ofisi ya Rais na Utawala Bora,DK.Mwinyihaji Makame Mwadini na kushoto ni Katibu
Mkuu Kiongozi Dk. Abdulhamid Yahya Mzee.
Baadhi
ya watendaji na Maafisa mbali mbali wa
Serikali wakiwa katika mkutano wa ufunguzi wa Maabara za Utalii,Mazingira Bora
ya Biashara na upatikanaji wa Rasilimali fedha, uliofunguliwa leo na Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein.
Baadhi
ya watendaji wa Serikali wakiwa katika mkutano wa ufunguzi wa Maabara za
Utalii, Mazingira Bora ya Biashara na upatikanaji wa Rasilimali
fedha,uliofunguliwa leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein.
Baadhi
ya watendaji wa Serikali wakiwa katika mkutano wa ufunguzi wa Maabara za
Utalii, Mazingira Bora ya Biashara na upatikanaji wa Rasilimali
fedha, mjini Zanzibar leo.Baadhi ya watendaji wa Serikali wakiwa katika mkutano huo wa ufunguzi wa Maabara za Utalii, Mazingira Bora ya Biashara na upatikanaji wa Rasilimali fedha, mjini Zanzibar leo. (Picha zote kwa hisani ya Othamn Maulid wa ZanziNews Blog) |
No comments:
Post a Comment