*Kurindima kesho Viwanja vya Ngome Kongwe Zenzibar
Viongozi wakizungumza na waandishi wa habari mjini Zanzibar, kuelezea kukamilika kwa matayarisho ya Tamasha la Sauti za Busara, linaloanza mjini humo kesho. (Picha zote kwa hisani ya ZanziNews)
Mmoja wa wasanii akighani wakati wa mkutano na waandishi wa habari kuelezea kukamilika kwa matayarisho ya tamasha la Sauti za Busara, litakalofanyika Viwanja vya Ngome Kongwe, mjini Zanzibar kesho.
Baadhi ya washiriki wa tamasha hilo, wakiwa kwenye mkutano na waandishi wa habari, kuelezea kukamilika kwa maandalizi ya Tamasha hilo la Sauti za Busara.
|
Mmoja wa wasanii akighani wakati wa mkutano na waandishi wa habari kuelezea kukamilika kwa matayarisho ya tamasha la Sauti za Busara, litakalofanyika Viwanja vya Ngome Kongwe, mjini Zanzibar kesho.
No comments:
Post a Comment