Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya ndani, Mbarak Abdulwakil akiangalia bidhaakatika Duka la Duty Free Shop Gereza la Ruanda katika hafla iliyofanyika jana Gerezani hapo. (Picha zote na Venance Matinya)

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya ndani, Mbarak Abdulwakil (kulia), akisaidiana na Kamishina wa Magereza Nchini John Minja kufunua pazi, kuashiria kuweka jiwe la msingi katika Duka la Duty Free Shop Gereza la Ruanda katika hafla iliyofanyika jana Gerezani hapo.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya ndani, Mbarak Abdulwakil akikata utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa Duka la Duty Free Shop Gereza la Ruanda katika hafla iliyofanyika jana Gerezani hapo, anayeshuhudia kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Transit Military Shops Limited, Alfazar Meghji.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya ndani, Mbarak Abdulwakil akiwa katika picha ya pamoja na kamati ya ulinzi na usalama ya Mkoa wa Mbeya baada ya kumaliza uzinduzi wa Duka la Duty Free Shop Gereza la Ruanda katika hafla iliyofanyika jana Gerezani hapo.
No comments:
Post a Comment