Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati wa onesho maalum la Miale ya Nuru, iliyoandaliwa na Taasisi ya Aga Khan kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam, jana usiku Feb 11, 2014. (Picha zote na OMR)
Baadhi ya Viongozi waliohudhuria hafla hiyo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati wa onesho maalum la Miale ya Nuru, iliyoandaliwa na Taasisi ya Aga Khan kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam, jana usiku Feb 11, 2014.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisikiliza maelezo kutoka kwa Ofisa Mipango wa Aga Khan, Navroz Lakhan, wakati alipokuwa akitembelea kujionea maonesho ya kumbuku ya Miale ya Nuru, iliyoandaliwa na Taasisi ya Aga Khan kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam, jana usiku Feb 11, 2014.
Baadhi ya Viongozi wakiwa katika hafla hiyo.
Mke wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Asha Bilal, akisikiliza maelezo wakati alipokuwa akitembelea kujionea maonesho ya kumbuku ya Miale ya Nuru, iliyoandaliwa na Taasisi ya Aga Khan kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam, jana usiku Feb 11, 2014.

No comments:
Post a Comment