TANGAZO


Saturday, February 15, 2014

Kikao cha NEC - CCM chaendelea mjini Dodoma

Mwenyekiti  wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Jakaya Mrisho Kikwete, akifungua kikao cha Halmashauri Kuu ya chama hicho Taifa (NEC) katika ukumbi wa mikutano wa Makao Makuu ya CCM Dodoma leo. Kushoto ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein. (Picha zote na Ramadhan Othaman, Dodoma)
Wajumbe wa kikao cha Halamashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC), kilichoanza leo katika ukumbi wa mikutano wa Makao Makuu ya CCM Dodoma. Kulia ni Makamo wa Rais wa Tanzania Dk. Mohamed Gharib Bilali, Waziri Mkuu wa Tanzania Mizengo Pinda na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar, Vuai Ali Vuai.


Baadhi ya wajumbe wa kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC),  kutoka upande wa Zanzibar wakisikiliza mada zilizokuwa zikitolewa katika kikao hicho, kilichoanza leo, chini ya Mwenyekiti wake Mwenyekiti wa CCM Taifa, Dk. Jakaya Mrisho Kikwete, mjini Dodoma. 

No comments:

Post a Comment