TANGAZO


Saturday, February 15, 2014

Wachezaji watatu wa Tennis U 18, waenda Morocco kushiriki mashindano ya Afrika

Mwenyekiti wa Chama cha Tennis Tanzania, Methusela Mbajo, akizungumza, wakati wa kuwakabidhi tiketi na kuwaaga wachezaji Georgina Kaindoah (katikati), Tumaini Meshuko (kulia) na Emmanuely Mallya (hayupo pichani), wanaokwenda kuwakilisha nchi katika mashindano ya Afrika kwa vijana wa Umri chini ya miaka 18, nchini Morocco. Wa pili kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa TTA, Fina Mango na wa pili kulia ni kocha wa timu hiyo, Nicolaus Leringa anayefuatana na wachezji hao. (Picha zote na Kassim Mbarouk-www.bayana.blogspot.com)
 Mwenyekiti wa Chama cha Tennis Tanzania, Methusela Mbajo, akizungumza, wakati wa kuwaaga wachezaji hao, wanaokwenda nchini Morocco leo kwa ajili ya kuwakilisha nchi katika mashindano ya Afrika kwa vijana wa Umri chini ya miaka 18. Wa pili kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa TTA, Fina Mango.

 Mwenyekiti wa Chama cha Tennis Tanzania, Methusela Mbajo, akizungumza, wakati wa kuwaaga wachezaji watatu wa Umri chini ya miaka 18, wanaokwenda nchini Morocco kushiriki mashindano ya Afrika kwa vijana wa umri huo, mashindao yanayoanza Jumatatu ijayo nchini humo.
Mwenyekiti wa Chama cha Tennis Tanzania, Methusela Mbajo (kushoto), akizungumza na wachezaji hao wanaokwenda nchini Morocco leo kushiriki mashindano ya Afrika kwa vijana wa Umri chini ya miaka 18. Wa pili kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa TTA, Fina Mango.
Mwenyekiti wa Chama cha Tennis Tanzania, Methusela Mbajo, akizungumza katika mkutano huo leo. Wa pili kulia ni Mtunza fedha wa TTA, Joyce Marwa. Wengine kushoto ni wazazi wa mmoja wa washiriki hao watatu, Georgina, Baba Kindoa na mama Gilda Kaindoa.
Mwenyekiti wa Chama cha Tennis Tanzania, Methusela Mbajo, akizungumza katika mkutano huo leo. Wa pili kulia ni Mtunza fedha wa TTA, Joyce Marwa. Wengine kushoto ni wazazi wa mmoja wa washiriki hao watatu, Georgina, Baba Kindoa na mama Gilda Kaindoa. 
Mwenyekiti wa Chama cha Tennis Tanzania, Methusela Mbajo, akizungumza, katika mkutano wa kuwaaga wachezaji wa Umri chini ya miaka 18, wanaoenda nchini Morocco katika mashindano ya ya Afrika.
Mwenyekiti wa Chama cha Tennis Tanzania (TTA), Methusela Mbajo (kushoto), akimkabidhi fedha za kujikimu kocha Nicolaus Leringa, Dar es Salaam leo, anayekwenda na wachezaji Georgina Kaindoah (katikati), Tumaini Meshuko na Emmanuely Mallya (hawapo pichani), katika mashindano ya Afrika kwa vijana wa umri chini ya miaka 18, nchini Morocco.
Mwenyekiti wa Chama cha Tennis Tanzania (TTA), Methusela Mbajo, akimkabidhi fedha za kujikimu mchezaji Georgina Kaindoah.
Mwenyekiti wa Chama cha Tennis Tanzania (TTA), Methusela Mbajo (kushoto), akimkabidhi tiketi za ndege kocha Nicolaus Leringa, Dar es Salaam leo, anayekwenda na wachezaji Georgina Kaindoah (wa pili kushoto), Tumaini Meshuko (kulia) na Emmanuely Mallya (hayupo pichani), katika mashindano ya Afrika kwa vijana wa umri chini ya miaka 18, nchini Morocco yanayofanyika katikati ya mwezi huu. Timu hiyo, imeondoka leo kuelekea nchini humo tayari kwa mashindano.
 Viongozi wa Chama cha Tennis Tanzania (TTA), Mwenyekiti wa Chama cha Tennis Tanzania (TTA), Methusela Mbajo (nyuma kushoto), Makamu Mwenyekiti wa TTA, Fina Mango (katikati) na Mtunza fedha wa TTA, Joyce Marwa, wakiwa katika picha ya pamoja na wachezaji hao pamoja na kocha wao, Nicolaus Leringa (waliokaa katikati), mara baada ya kuwakabidhi tiketi pamoja na fedha za kujikimu kwa ajili ya safari yao hiyo.
Viongozi wa Chama cha Tennis Tanzania (TTA), Mwenyekiti wa Chama cha Tennis Tanzania (TTA), Methusela Mbajo (nyuma kushoto), Makamu Mwenyekiti wa TTA, Fina Mango (wa pili kushoto), Mtunza fedha wa TTA, Joyce Marwa, wakiwa katika picha ya pamoja na wazazi wa mchezaji Georgina, Baba Kaindoa na mama Gilda Kaindoa, pamoja na wachezaji hao. Aliyekaa katikati ni kocha wa timu hiyo, Nicolaus Leringa.
Viongozi wa Chama cha Tennis Tanzania (TTA), wakiwa katika picha ya pamoja na wazazi wa mchezaji Georgina Kaindoa na pamoja na wachezaji hao, mara baada ya kuwakabidhi tiketi zao pamoja na fedha za kujikimu.
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Tennis Tanzania (TTA), Fina Mango (kulia), akiagana na mchezaji Tumaini Tumaini Meshuko.
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Tennis Tanzania (TTA), Fina Mango (kulia), akiwaaga wachezaji Georgina Kaindoah (anayempa mkono), Tumaini Meshuko (wa pili kulia), Emmanuely Mallya (hayupo pichani) na kocha wao, Nicolaus Leringa (kushoto), wakati wa hafla ya kuwakabidhi tiketi za ndege, fedha za kujikimu na kuwaaga, Dar es Salaam leo.
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Tennis Tanzania (TTA), Fina Mango (kulia), akiagana na kocha wa timu hiyo, Nicolaus Leringa.
Mchezaji Georgina Kaindoa akiwa katika picha ya pamoja na familia yake, Baba na mama Kaindoa pamoja na kaka yake na jamaa wengine.

No comments:

Post a Comment