TANGAZO


Thursday, January 2, 2014

Ratiba ya Mazishi na kuwasili kwa mwili wa aliyekuwa Waziri wa Fedha, marehemu Dk. Mgimwa yatolewa

Baadhi ya waandishi wa habari wakiwa katika mkutano na Mwenyekiti wa Kamati ya mazishi ya aliyekuwa Waziri wa Fedha, Dk. William Mgimwa, Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Bunge), William Lukuvi, wakati akitoa ratiba ya shughuli za mazishi na kuwasili kwa mwili wa marehemu huyo, unaowasili keshokutwa, ukitokea nchini Afrika Kusini, alikokuwa akitibiwa. (Picha zote na Kassim Mbarouk-www.bayana.blogspot.com)
Mwenyekiti wa Kamati ya mazishi ya aliyekuwa Waziri wa Fedha, Dk. William Mgimwa, Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Bunge), William Lukuvi akizungumza na waandishi wa habari, Dar es Salaam leo, kuhusu ratiba ya shughuli za mazishi na kuwasili kwa mwili wa marehemu huyo, unaowasili keshokutwa, ukitokea Afrika Kusini, alikokuwa akitibiwa. Kulia ni Naibu Waziri wa Fedha, Saada Mkuya Salum.
Makatibu Wakuu wa Wizara ya Afya  na Ustawi wa Jamii, Charles Pallangyo (kushoto) na Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu, Dk. Florence Turuka wakiwa katika mkutano huo, wakimsikiliza Mwenyekiti wa Kamati ya mazishi ya aliyekuwa Waziri wa Fedha, Dk. William Mgimwa, Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Bunge), William Lukuvi wakati alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari, Dar es Salaam leo, kuhusu ratiba ya shughuli za mazishi na kuwasili kwa mwili wa marehemu huyo, unaowasili keshokutwa, ukitokea Afrika Kusini, alikokuwa akitibiwa.
Mwenyekiti wa Kamati ya mazishi ya aliyekuwa Waziri wa Fedha, Dk. William Mgimwa, Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Bunge), William Lukuvi akifafanua jambo kwa waandishi wa habari, wakati alipokuwa akizungumza nao jijini leo  kuhusu ratiba ya shughuli za mazishi na kuwasili kwa mwili wa marehemu huyo.
Mwenyekiti wa Kamati ya mazishi ya aliyekuwa Waziri wa Fedha, Dk. William Mgimwa, Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Bunge), William Lukuvi akijibu maswali ya waandishi wa habari, wakati wa mkutano huo. Kulia ni Naibu Waziri wa Fedha, Saada Mkuya Salum.
Waandishi wa habari wakiwa kazini katika mkutano huo jijini leo.
Waandishi wa habari wakiwa kazini katika mkutano huo jijini leo.
Mwenyekiti wa Kamati ya mazishi ya aliyekuwa Waziri wa Fedha, Dk. William Mgimwa, Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Bunge), William Lukuvi akifafanua jambo kwa waandishi wa habari, Dar es Salaam leo, kuhusu ratiba ya shughuli za mazishi na kuwasili kwa mwili wa marehemu huyo.
Mwenyekiti wa Kamati ya mazishi ya aliyekuwa Waziri wa Fedha, Dk. William Mgimwa, Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Bunge), William Lukuvi akielezea jambo katika mkutano huo na waandishi wa habari, Dar es Salaam leo. Kulia ni Naibu Waziri wa Fedha, Saada Mkuya Salum.
Waandishi wa habari, wakimsikiliza Mwenyekiti wa Kamati ya mazishi ya aliyekuwa Waziri wa Fedha, Dk. William Mgimwa, Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Bunge), William Lukuvi wakati akizungumza jijini leo, kuhusu ratiba ya shughuli za mazishi na kuwasili kwa mwili wa marehemu huyo, unaowasili keshokutwa, ukitokea Afrika Kusini, alikokuwa akitibiwa.
Mwenyekiti wa Kamati ya mazishi ya aliyekuwa Waziri wa Fedha, Dk. William Mgimwa, Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Bunge), William Lukuvi akizungumza na waandishi wa habari, katika mkutano huo.
Baadhi ya waandishi wa habari wakiandika maelezo yaliyokuwa yakitolewa na Mwenyekiti wa Kamati ya mazishi ya aliyekuwa Waziri wa Fedha, Dk. William Mgimwa, Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Bunge), William Lukuvi.

No comments:

Post a Comment