TANGAZO


Thursday, January 2, 2014

Bombastiki Bonanza la Vodacom Tanzania lilivyofana Coco Beach Sikukuu ya Mwaka Mpya

Vijana wakiwa kwenye fukwe za Coco Beach, Dar es Salaam jana, wakati wa Bombastik Bonanza lililoandaliwa na Vodacom kwenye fukwe hizo. (Picha zote na Kassim Mbarouk-www.bayana.blogspot.com)
Vijana wakioga maji ya Bahari kwenye fukwe za Coco Beach, Dar es Salaam jana, wakati wa Bombastik Bonanza lililoandaliwa na Vodacom.
 
Vijana wakiwa kwenye Boza la upepo kwa ajili ya kuelea kwenye maji katika fukwe za Coco Beach, Dar es Salaam jana, wakati wa Bombastik Bonanza lililoandaliwa na Vodacom kwenye fukwe hizo.
Vijana wakipiga picha wakiwa kwenye boza hilo, katika fukwe za Coco Beach, Dar es Salaam jana, wakati wa Bombastik Bonanza lililoandaliwa na Vodacom. 
Akinamama wakifurahia kuelea kwenye maji wakiwa kwenye boza hilo. 
Vijana wakijitosa baharini wakati wa bonanza hilo la Mwaka mpya kwenye fukwe hizo.
Vijana wakibadilishana mawazo kwenye Bahari, wakiwa na mipira ya ndani ya gari.
Vijana wakiwa kwenye Bahari ya Hindi kwenye fukwe za Coco Beach, Dar es Salaam jana, wakati wa Bombastik Bonanza lililoandaliwa na Vodacom.
 
 Vijana wa kike na kiume wakiwa kwenye maji ya Bahari ya Hindi wakati wa Bonanza hilo.
 Vijana wakikwepa mawimbi ya maji.   
Vijana wakiwa kwenye maji ya Bahari ya Hindi kwenye fukwe za Coco Beach wakati wa Bombastik Bonanza la Vodacom, kusherehekea Mwaka Mpya.
 
 Wakikwepa mawimbi ya Bahari ya Hindi.
 Vijana wakiwa na mipira ya kuwasaidia kuelea kwenye maji.
 Mambo hivi ndivyo yalivyokuwa kwenye fukwe za Coco Beach. 
 Mawimbi yakiwasukuma vijana kuingia kwenye maji.
 
 
 Vijana wakiogelea kwenye fukwe hizo, wakati wa bonanza hilo.
Hapa ilikuwa raha tupu kwenye maji ya Bahari ya Hindi, katika fukwe za Coco Beach.
Hapa fukwe ilisheheni vijana waliokuwa wakifanya shughuli mbalimbali za kibiashara pia.
 Hali ilikuwa hivi katika fukwe hizo.
Hapa mmoja wa wasanii aliyekuwa akijulikana kwa jina la Ajiri Mauzo, akitumbuiza na wimbo wake wa 'Maisha Noma' wakati wa Bombastik Bonanza lililoandaliwa na Vodacom Tanzania wakati wa Sherehe za Mwaka Mpya kwenye fukwe hizo.
 Ajiri Mauzo, akitumbuiza kwenye Bonanza hilo.
 Ajiri Mauzo, akiwa kazini
Msanii chipukizi wa muziki wa kizazi kipya, Ghasia Amir, akiburudisha kwa wimbo wake unaoitwa 'Mwanayumba tunamrudisha Temeke' katika Bombastik Bonanza lililoandaliwa na Vodacom Tanzania kwenye fukwe za Coco Beach, Dar es Salaam jana.
Ghasia Amir, akiburudisha kwa wimbo wake huo wa 'Mwanayumba tunamrudisha Temeke'.
Ghasia Amir, akiwapa burudani mwashabiki wake kwa wimbo wake huo wa 'Mwanayumba tunamrudisha Temeke'.
Ghasia Amir, akifanya vitu vyake kwa mashabiki wake hao katika bonanza hilo.
Ghasia Amir, akitoa burudani kwa mwashabiki wake hao kwa wimbo wake huo wa 'Mwanayumba tunamrudisha Temeke'.
Msanii chipukizi wa muziki wa kizazi kipya, Ghasia Amir, akiburudisha kwa wimbo wake unaoitwa 'Mwanayumba tunamrudisha Temeke' katika Bombastik Bonanza lililoandaliwa na Vodacom Tanzania kwenye fukwe za Coco Beach, Dar es Salaam jana. 
Msanii chipukizi, Ghasia Amir, akiburudisha kwa wimbo wake huo, unaoitwa 'Mwanayumba tunamrudisha Temeke' katika Bombastik Bonanza lililoandaliwa na Vodacom Tanzania.
Ghasia Amir, akifoka katika wimbo wake huo.
 Mashabiki wakiwa katika Bonanza hilo la Vodacom.
Msanii Ghasia Amir, akibtamba katika jukwa hilo, akiburudisha kwa wimbo wake unaoitwa 'Mwanayumba tunamrudisha Temeke'.
 
Msanii Shebi Live, naye akiimba wimbo wake unaoitwa Wasi wasi naye, wakati wa Bonanza hilo la Bombastik la Vodacom kwenye fukwe hizo.
Msanii Shebi Live, akitumbuiza kwa wimbo wake wa Wasi wasi naye.
Msanii Shebi Live, akiwapagawisha mashabiki wake kwa wimba wimbo wake huo.
Msanii Shebi Live, akiwapoza mashabiki wake kwa wimba wimbo wake huo.
 
 
 
MC Shaaban 'Hot Source', akiwa kazini wakati wa Bombastik Bonanza la Vodacom, kwenye fukwe hizo za Coco Beach, Dar es Salaam jana.
Msanii Masha Key, akiimba wimbo wake wa Dole Salale huku MC Shaaban 'Hot Source', akiwa nyuma yake kumkolezea.
Msanii Masha Key, akiimba wimbo wake wa Dole Salale huku MC Shaaban 'Hot Source', akiwa nyuma yake kumkolezea.
Msanii Masha Key, akizirudi ngoma zake hizo katika Bombastik Bonanza wimbo wake wa Dole Salale huku MC Shaaban 'Hot Source', akiwa nyuma yake kumkolezea.
Msanii Masha Key, akiwapagawisha mashabiki kwa wimbo wake wa Dole Salale.
 
 Hapa msanii Masha Key, akiimba kwa hisia kali wimbo wake huo.
 
 
 
 
 
Msanii Masha Key, akizirudi ngoma zake hizo katika Bombastik Bonanza la Vodacom.
Mashabiki wakimsikiliza Masha Key, katika wimbo wake huo.
MC Shaaban 'Hot Source', akiwa kazini katika bonanza hilo, la Vodacom.
MC Shaaban 'Hot Source', akiwa kazini katika bonanza hilo, la Vodacom, akikoleza mambo ya Vodacom.
MC Shaaban 'Hot Source', akiwa kazini katika bonanza hilo, la Vodacom, akikoleza mambo ya Vodacom.
Mmoja wa wasanii chipukizi wa muziki wa kizazi kipya, akiburudisha kwenye Bombastik Bonanza lililoandaliwa na Vodacom Tanzania kwenye fukwe za Coco Beach, Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment