TANGAZO

Friday, January 24, 2014

Rais Jakaya Kikwete na Naibu Rais wa Kenya William Ruto jijini Nairobi

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitambulishwa kwa baadhi ya viongozi wa Kenya na Naibu Rais wa Kenya, Mhe William Ruto walipowasili kwa pamoja katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta jijini Nairobi leo, Ijumaa January 24, 2014. Viongozi hao, walikutana jijini Amsterdam, Uholanzi,  na kupanda ndege moja kuelekea nyumbani. Rais Kikwete ambaye alitua Nairobi kwa muda, alikuwa akitokea Davos, Uswisi, alikokuwa kwenye ziara ya kikazi ambayo ameikatisha ili kujiunga na wananchi wa Jimbo la Chalinze katika msiba wa Mbunge wa jimbo hilo, marehemu Said Bwanamdogo, ambaye alifariki dunia Januari 22, 2014  katika wodi ya Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Upasuaji wa Mishipa ya Fahamu (Moi), Muhimbili Dar es Salaam, alikokuwa akitibiwa. Mazishi yamepangwa kufanyika leo nyumbani kwa marehemu Miono, Bagamoyo.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka sahihi katika kitabu cha wageni huku akishuhudiwa na Naibu Rais wa Kenya Mhe William Ruto na balozi wa Tanzania nchini Kenya, Mhe Batilda Buriani  walipowasili kwa pamoja katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta jijini Nairobi leo, January 24, 2014. Viongozi hawa walikutana jijini Amsterdam, Uholanzi,  na kupanda ndege moja kuelekea nyumbani. Rais Kikwete, aliyetua Nairobi kwa muda,  alikuwa akitokea Davos, Uswisi, alikokuwa kwenye ziara ya kikazi ambayo  ameikatisha ili kujiunga na wananchi wa jimbo la Chalinze katika msiba wa Mbunge wa jimbo hilo, marehemu  Said Bwanamdogo, ambaye amefariki dunia Januari 22, 2014  katika wodi ya Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Upasuaji wa Mishipa ya Fahamu (Moi), Muhimbili jijini Dar es Salaam, alikokuwa akitibiwa. Mazishi yamepangwa kufanyika leo nyumbani kwa marehemu Miono, Bagamoyo.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea  na  Naibu Rais wa Kenya Mhe William Ruto walipowasili kwa pamoja katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Jomo Kenyatta jijini Nairobi leo January 24, 2014. Viongozi hawa walikutana jijini Amsterdam, Uholanzi,  na kupanda ndege moja kuelekea nyumbani. Rais Kikwete, aliyetua Nairobi kwa muda,  alikuwa akitokea Davos, Uswisi, alikokuwa kwenye ziara ya kikazi ambayo  ameikatisha ili kujiunga na wananchi wa jimbo la Chalinze katika msiba wa Mbunge wa jimbo hilo Marehemu  Said Bwanamdogo, ambaye amefariki dunia  Januari 22, 2014  katika wodi ya Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Upasuaji wa Mishipa ya Fahamu (Moi), Muhimbili jijini Dar es Salaam, alikokuwa akitibiwa. Mazishi yamepangwa kufanyika leo nyumbani kwa marehemu Miono, Bagamoyo.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea  na   Naibu Rais wa Kenya Mhe William Ruto walipowasili kwa pamoja katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Jomo Kenyatta jijini Nairobi leo January 24, 2014. Viongozi hawa walikutana jijini Amsterdam, Uholanzi,  na kupanda ndege moja kuelekea nyumbani. Rais Kikwete, aliyetua Nairobi kwa muda,  alikuwa akitokea Davos, Uswisi, alikokuwa kwenye ziara ya kikazi ambayo  ameikatisha ili kujiunga na wananchi wa jimbo la Chalinze katika msiba wa Mbunge wa jimbo hilo Marehemu  Said Bwanamdogo, ambaye amefariki dunia Januari 22, 2014  katika wodi ya Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Upasuaji wa Mishipa ya Fahamu (Moi), jijini Dar es Salaam,  alikokuwa akitibiwa. Mazishi yamepangwa kufanyika leo nyumbani kwa marehemu Miono, Bagamoyo. (Picha zote na Ikulu)

No comments:

Post a Comment