Bondia Joshua Amukulu (kushoto) wa Kenya akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Fransis Miyeyusho wakati wa mpambano wao wa kuuaga mwaka 2013 na kukaribisha 2014, uliofanyika katika ukumbi wa Msasani Klabu, Dar es Salaam. Miyeyusho alishinda kwa K.O ya raundi ya pili na kuibuka mbabe katika mpambano huo. (Picha zote na www.superdboxingcoach.blogspot.com)
|
Bondia Joshua Amukulu (kushoto) wa Kenya akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Fransis Miyeyusho wakati wa mpambano wao wa kuuaga mwaka 2013 na kukaribisha 2014, uliofanyika katika ukumbi wa Msasani Klabu, Dar es Salaam. Miyeyusho alishinda kwa K.O ya raundi ya Pili.
|
Bondia Ibrahimu Class 'King Class Mawe' (kushoto), akioneshana umwamba wa kutupiana kakonde na Mustafa Dotto wakati wa mpambano wao wa raundi sita kwa ajili ya kufunga mwaka king class mawe alishinda kwa point.
|
Bondia Mustafa Dotto (kushoto), akioneshana umahiri wa kutupiana makonde na Ibrahimu Class 'King Class Mawe' wakati wa mpambano wao huo. King Class alishinda kwa point.
|
Bondia Mustafa Dotto (kushoto) akioneshana umahiri wa kutupiana makonde na Ibrahimu Class 'King Class Mawe' wakati wa mpambano wao huo. King Class alishinda mpambano huo kwa point.
|
Ibrahim Class 'King Class Mawe' akiinuliwa mkono baada ya kumndunda Mustafa Dotto wakati wa kusherehekea mwaka mpya wa 2014.
|
Bondia Iddy Mnyeke (kushoto), akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Cosmas Cheka wakati wa mpambano wao wa kuuaga mwaka na kuukaribisha mwaka mpya wa 2014. Mpambano huo ulikuwa ngoma droo.
|
No comments:
Post a Comment