Hapa wafanyakazi wakifungua shampeni kwa ajili ya sherehe hiyo.
Hapa watu wakijimiminia shampeni kwenye vinywaji vyao, wakati wakisubiri kuingia mwaka mpya wa 2014.
Hapa Meneja Mkuu, Ramadhan Kibanike akigonganisha glasi na mwandishi wa habari za michezo, Asha Kigundula.
Hapa Meneja Mkuu, Ramadhan Kibanike, akikata kilaji na kusakata Rhumba na mmoja wa waandishi wa gazeti la Jambo Leo, Christina.
Wafanyakazi wakizirudi ngoma pamoja na kugonganisha chupa na glasi za vinywaji.
Wafakazi wakizirudi ngoma kwa staili mbalimbali wakati wa sherehe hiyo.
Wafakazi wakizirudi ngoma kwa staili mbalimbali katika sherehe hiyo.
Hapa ni mambo ya kilaji tu, wafanyakazi wakijiburudisha kwa vinywaji vya aina mbalimbali wakati wa hafla hiyo.
Wafanyakazi wakizirudi ngoma wakati wa sherehe hiyo.
Chupa na glasi za vinywaji zikigonganishwa.
Wafanyakazi wakizirudi ngoma kwenye sherehe hiyo.
No comments:
Post a Comment