TANGAZO


Saturday, January 11, 2014

Hali ya miundombinu kituo cha Daladala Jamatini mjini Dodoma ni songombingo

Wateja wakiendelea kupata huduma ya chakula kwa mama lishe bila kujali maji machafu yaliyotuama katika eneo hilo lililopo katika kituo cha Daladala Jamatini Dodoma iliyisababisha na kukosekana kwa miundombinu. (Picha zote na John Banda)
Muuza Chipsi akiendelea kuandalia wateja wake huku maji machafu yakiwa yametuama kibandani hapo hali inayotishia afya za wateja wao, huku kilio cha wafanyabiashara hao kikielekezwa Ofisi ya Mhandisi wa Manispaa wanakolipa kodi.
Maji yakiwa yamezagaa katika vibanda vya wafanya biashara wa chakula (mama na baba lishe) kutokana na kukosekana na miundombinu yakupitishi maji pindi mvua zinaponyesha.
Mabanda ya mama na baba lishe yakiwa yamezungukwa na maji ya taka ya mvua yaliyozagaa kwenye maeneo hayo.
Hali ikiwa ni yakutisha kiafya, huku wafanyabiashara hao, nao wakilazimika kufanya shughuli zao katika hali hiyo.

No comments:

Post a Comment