Meneja wa duka la Vodacom Mwanza, Bi. Jumeo Khamis akimkabidhi funguo ya pikipiki Godlove Kanyonga kwa niaba ya mkewe Vianey aliyeshinda kupitia Promosheni ya Timka na Bodaboda inayoendeshwa na Vodacom Tanzania,Ili kujiunga na Promosheni hiyo tuma neno Promo kwenda 15544.
Kaimu Mkuu wa kanda ya Ziwa wa Vodacom Tanzania,Victoria Chale akimkabidhi funguo ya pikipiki mshindi wa chomoka na bodanoda kutoka Geita, Bijampola, Ili kujiunga na Promosheni hiyo tuma neno Promo kwenda 15544.
Mkuu wa Kanda ya Ziwa wa Vodacom Tanzania,Bi.Harieth Koka akimkabidhi kadi na kibao cha namba za pikipiki mshindi wa chomoka na bodaboda , Maneno Raamdhan kutoka Igoma Mwanza,Ili kujiunga na Promosheni hiyo tuma neno Promo kwenda 15544.
Baadhi ya washindi wa Promosheni ya Timka na Boda Boda wakiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa Vodacom Mwanza baada ya hafla ya kuwakabidhi zawadi pikipiki zao walizojishindia kupitia promosheni hiyo,Ili kujiunga na Promosheni hiyo tuma neno Promo kwenda 15544.
Na Mwandishi wetu, Mwanza.
WASHINDI 5 kati ya wanane wa Timka na na Boda Boda wa Mikoa ya Kanda ya Ziwa wamekabidhiwa zawadi zao leo na Meneja wa Kanda Harieth Koka katika hafla iliyofanyika Jijini Mwanza.
Akizungumza katika hafla hiyo, Koka alisema kiasi cha shilingi milioni 236 kati ya 436 kimekwishatumika tangu kuanza kwa shindano hilo lilinaloendeshwa na kampuni ya simu ya Vodacom.
Alisema shindano hilo litafikia tamanti Januari mwakani hivyo akawataka wananchi kujitokeza kushiriki shindano hilo na kujinyakulia zawadii kwa ajili ya kuboresha vipato namaisha yao ambapo kila wiki kampuni hiyo inatoa shilingi milioni 5 kaa washindi.
Aidha wakizungumza mara baada ya kukabidhiwa zawadi zao baadhi ya washindi hao walisema watatumia zaadi ya fedha n pikipiki hizo kwa ajili ya kuboresha vipato vyao na kuendesha maisha ya familia zao.
Godlove MKanyonga ambaye bni Afisa Taibu mkoa wa Mara ambaye akwa pmoja na mkewe wameshinda na kunyakua vitita vya shilingi milioni moja kil pmoja na pikipiki mbili alisema atatumia pikipiki hizo kuwekeza kwenye biashara ya usafiri.
Mwingine ni Bijampola kutoka Geita ambaye alitumia Sh300,000 kushinda zawadi hizo alisema anatarajia kufanyia biashara ya usafirishaji wa abiria.
Aidha Mwanafunzi wa wa mwaka wa nne katika Chuo cha Mtakatifu Agostino, Aloys Kimaro yeye alisema amepata mtaji wa kuanzisha kampuni ya Usafirishaji.
No comments:
Post a Comment