TANGAZO


Tuesday, December 24, 2013

Pilikapilika za maandalizi ya Krismasi Dar


Mtoto akijaribishwa viatu kabla ya kununuliwa Mtaa wa Kongo leo. (Picha zote na Kassim Mbarouk-www.bayana.blogspot.com)
Wananchi wakinunua maua, Mtaa wa Kongo, Kariakoo Dar es Salaam leo kwa ajili ya mapambo ya maandalizi ya Sikukuu ya Krismasi, inayoadhimishwa duniani kote kesho. 
Mama akipita na mti wa Krismasi maeneo ya Soko Kuu la Kariakoo, Dar es Salaam leo.
Wananchi wakiwanunulia watoto wao nguo za Sikukuu ya Krismasi.
Baadhi ya wakazi wa jiji la Dar es Salaam, wakinunua miti ya Krismasi, Mtaa wa Sikukuu, Kariakoo leo.
Wahudumu wa Kanisa Katoliki Mtakatifu Joseph, jimbo Kuu la Dar es Salaam, wakiandaa hori la kulishia wanyama leo, mfano wa mahali alipozaliwa mtoto Yesu, huko Bethlehem.

No comments:

Post a Comment