TANGAZO

Tuesday, December 24, 2013

Kamanda Kova azungumza na waandishi wa habari kuhusu kukamatwa silaha sehemu mbalimbali na hali ya ulinzi ulivyoimarishwa kwa kipindi chote cha Sikukuu ya Krismasi na Mwaka mpya jijini Dar es Salaam

Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Naibu
Kamishna Suleiman Kova, akizungumza na waandishi wa habari, Dar es Salaam leo, kuhusu kukamatwa kwa silaha na jeshi hilo kwenye matukio tofauti jijini, wakati alipokuwa akizungumzia hali ya ulinzi ilivyoimarishwa kwa kipindi chote cha siku za Sikukuu na Mwaka mpya. Wa pili kushoto ni Mrakibu Msaidizi wa Polisi (ASP), Ali Omar Mzava. (Picha zote na Kassim Mbrouk-www.bayana.blogspot.com)
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Naibu
Kamishna Suleiman Kova, akiwaonesha waandishi wa habari baadhi ya silaha zilizokamatwa na jeshi hilo kwenye matukio tofauti jijini, wakati alipokuwa akizungumza kuhusu hali ya ulinzi ilivyoimarishwa kwa kipindi chote cha siku za Sikukuu na Mwaka mpya.

Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Naibu
Kamishna Suleiman Kova, akiwaonesha waandishi wa habari baadhi ya silaha zilizokamatwa na jeshi hilo jijini leo, kwenye matukio tofauti, wakati alipokuwa akizungumza kuhusu hali ya ulinzi ilivyoimarishwa kwa kipindi chote cha siku za Sikukuu na Mwaka mpya. Wa pili kushoto, anayemsaidia ni Mrakibu Msaidizi wa Polisi (ASP), Ali Omar Mzava.

Kamishna Suleiman Kova, akiwaonesha waandishi wa habari baadhi ya silaha zilizokamatwa na jeshi hilo jijini leo, kwenye matukio tofauti, wakati alipokuwa akizungumza kuhusu hali ya ulinzi ilivyoimarishwa kwa kipindi chote cha siku za Sikukuu na Mwaka mpya. Wa pili kushoto ni Mrakibu Msaidizi wa Polisi (ASP), Ali Omar Mzava.

Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Naibu
Kamishna Suleiman Kova, akiwaonesha waandishi wa habari baadhi ya silaha zilizokamatwa na jeshi hilo, wakati alipokuwa akizungumza kuhusu hali ya ulinzi ilivyoimarishwa kwa kipindi chote cha siku za Sikukuu na Mwaka mpya. Wa pili kushoto, aliyeshika panga ni Mrakibu Msaidizi wa Polisi (ASP), Ali Omar Mzava.
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Naibu
Kamishna Suleiman Kova, akiwaonesha waandishi wa habari mafurushi ya bangi yaliyokamatwa na jeshi hilo kwenye matukio tofauti jijini, wakati alipokuwa akizungumza kuhusu hali ya ulinzi ilivyoimarishwa kwa kipindi chote cha siku za Sikukuu na Mwaka mpya.

Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Naibu
Kamishna Suleiman Kova, akizungumza na waandishi wa habari, Dar es Salaam leo, wakati alipokuwa akielezea kuhusu hali ya ulinzi ilivyoimarishwa kwa kipindi chote cha siku za Sikukuu na Mwaka mpya. Kulia ni Mrakibu Msaidizi wa Polisi (ASP), Ali Omar Mzava.

Baadhi ya silaha hizo, zilizokamatwa na jeshi hilo ni pamoja na bastola, bunduki, risasi na mapanga.
Hizi hapa ni baadhi ya silaha zilizokamatwa na jeshi la Polisi katika maeneo na matukio tofauti jijini Dar es Salaam.
Hizi hapa ni baadhi ya silaha zilizokamatwa na jeshi la Polisi katika maeneo na matukio tofauti jijini Dar es Salaam na kuoneshwa kwa waandishi wa habari, jijini leo.
Baadhi ya Maofisa wa jeshi la Polisi wakiziondoa silaha hizo kwenye mkutano huo na waandishi wa habari, baada ya Kamanda Kova kuwaonesha leo.

No comments:

Post a Comment