TANGAZO


Tuesday, December 24, 2013

Makamu wa Rais, Dk. Gharib Bilal amjulia hali Muasisi wa ASP

Makamu wa Rais Dk. Bilal, akimjulia hali mzee Ali Machano,
Muasisi wa Afro-Shirazi Party (ASP), Kijijini kwake Moga, Mkoa wa Kaskazini, Unguja leo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Mzee Ali Machano (122), mmoja kati ya waasisi wa Afro-Shirazi Party (ASP), wakati alipomtembelea kumjulia hali kijijini kwake Moga, Mkoa wa Kaskazini Unguja leo, Disemba 24-2013. (Picha zote na OMR

No comments:

Post a Comment