TANGAZO


Tuesday, December 24, 2013

Mohamed Matumla, Nasibu Ramadhan kumaliza ubishi Sikukuu ya Krismasi


Bondia Mohamed Matumla (kushoto) na Nassibu Ramadhani wakitunishiana misuli baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao wa leo katika ukumbi wa Friends corner Hotel Manzese , jijini Dar es Salaam leo. Katikati ni Promota wa mpambano huo, Kaike Siraju. (Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com)

Promota Kaike Siraju, akiwainua mikono juu, mabondia Mohamed Matumla (kushoto) na Nassibu Ramadhani kwa ajili ya mpambano wao wa kugombea pikipiki, siku ya Sikukuu ya Krismasi, Ukumbi wa Hoteli ya Friends Corner, Manzese jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment