TANGAZO


Monday, December 30, 2013

Mabondia watambiana, kumaliza ubishi wao Desemba 31 Msasani Club


Bondia Joshua Amukulu (kushoto), kutoka Kenya akitunishiana misuli na Francis Miyeyusho, wakati wa upimaji uzito kwa ajili ya mpambano wao, utakaofanyika Desemba 31, Jumanne katika ukumbi wa Msasani Club, jijini Dar es Salaam. (Picha zote na www.superdboxingcoach.blogspot.com)

Bondia Karama Nyilawila (kushoto), akitunishiana misuli na Ibrahimu Maokola baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao utakaofanyika Desemba 31, Jumanne katika ukumbi wa Msasani Ckub, jijini Dar es Salaam. 
Bondia Francis Miyeyusho akipima uzito kwa ajili ya mpambano wake Joshua Amukulu kutoka Kenya utakaofanyika Desemba 31, Jumanne katika ukumbi wa Msasani Club jijini Dar es Salaam.

Bondia Ibrahimu Class 'king Class Mawe'  (kushoto), akitunishiana misuli na Mustafa Dotto baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao, utakaofanyika Desemba 31, Jumanne katika ukumbi wa Msasani Club jijini Dar es Salaam.
Ibrahim Class 'King Mawe' akipima afya yake.
 Iddy Mnyeke akipima afya yake kabla ya mpambano wao kesho.

No comments:

Post a Comment