Kaimu Mkuu wa Masoko ya Rejareja wa KCB Bank, Juma Abdul akizungumzia huduma za benki hiyo, kwenye semina ya siku moja ya ujasiriamali iliyoandaliwa na benki ya KCB tawi la Zanzibar kwenye hoteli ya Grand Palace mjini Zanzibar jana.
Meneja wa Tawi, KCB bank Zanzibar, Cosmas Mwankemwa akizungumza na washiriki wa wa semina ya ujasiriamali iliyoandaliwa na benki hiyo kwenye hoteli ya Grand Palace mjini Zanzibar jana.
Meneja wa Tawi, KCB bank Zanzibar, Cosmas Mwankemwa akizungumza na washiriki wa wa semina ya ujasiriamali iliyoandaliwa na benki hiyo kwenye hoteli ya Grand Palace mjini Zanzibar jana.
Meneja Uhusiano wa Umma wa benki ya KCB Tanzania, Hellen Siria akitoa maelekezo kwa washiriki wa semina ya ujasiriamali iliyoandaliwa na benki hiyo tawi la Zanzibar kwenye hoteli ya Grand Palace mjini zanzibar jana.
Kaimu Mkuu wa masoko ya rejareja wa KCB Bank, Juma Abdul akizungumzia huduma za benki hiyo kwenye semina ya siku moja ya ujasiriamali iliyoandaliwa na benki ya KCB tawi la Zanzibar kwenye hoteli ya Grand Palace mjini Zanzibar jana.
Mshiriki wa semina ya Ujasiriamali, Nicholaus William kutoka kampuni ya Mass Global Investments ya mjini Unguja akichangi mada katika semina hiyo Iliyoandaliwa na KCB bank mjini humo.
Mkufunzi wa Ujasiriamali, Peace Lumelezi akitoa mada kwenye semina ya ujasiriamali iliyoandaliwa na KCB Bank kwenye hoteli ya Grand Palace mjini Zanzibar jana.
No comments:
Post a Comment