TANGAZO


Monday, December 23, 2013

Kaseba amchakaza Alibaba kwa KO ya Raundi ya 4

 
Bondia Japhet Kaseba (kushoto), akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Alibaba Ramadhani wakati wa kugombania ubingwa wa Taifa uliofanyika Manzese Dar es Salaam usiku wa kuamkia leo. Kaseba alishinda kwa KO ya raundi ya nne ya mpambano huo.
Kanda Kabongo akimhudumia Japhet Kaseba.
Bondia Omari Nampekecha 'peche boy' (kushoto), akipambana na Hasani Kiware wakati wa mpambano wa utangulizi. Nampekecha alishinda kwa pointi.
Kaseba akiwa na familia yake pamoja na mashabiki baada ya kushinda mchezo wake.
Bondia Pendo Njau (kushoto), akiwa na bondia Lulu Kayage wakati wa mpambano huo.
Mashabiki wakiangalia mpambano huo.
Wapiganaji wa mpambano wa Kick Box, Kareem Kutch (kushoto), akipambana na Hassani Juma 'Tata Boy', wakati wa mpambano huo Kutch alishinda kwa point.
Wapiganaji wa mpambano wa Kick Box, Kareem Kutch (kushoto), akipambana na Hassani Juma 'Tata Boy', wakati wa mpambano huo. Kutch alishinda kwa point (Picha zote na superdboxingcoach.blogspot.com)

No comments:

Post a Comment