TANGAZO

Monday, December 23, 2013

Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Sophia Simba amkabidhi Tuzo ya Heshima Balozi Mongella, iliyotolewa na Umoja wa Wanawake wa Afrika Kusini (PAWO), nchini Afrika Kusini

Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Sophia Simba (wa pili kushoto), akiwa pamoja na Balozi Getrude Mongella (wa tatu), wakati wa hafla ya kumkabidhi Tuzo ya Heshima katika Ukombozi wa Wanawake wa Bara la Afrika, Balozi Mongella, Dar es Salaam leo, Hoteli ya Courtyard, iliyotolewa na Taasisi ya Pan African Women Organization ya nchini Afrika Kusini. Kushoto ni Katibu Mkuu wa wizara hiyo, Anna Maembe na kulia ni Mkurugenzi Msaidizi Maendeleo ya Jinsia, Costansia Gabusa. (Picha zote na Kassim Mbarouk-www.bayana.blogspot.com)
Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Sophia Simba (kushoto), akifurahia jambo na Balozi Getrude Mongella wakati wa makabidhiano hayo jijini, Dar es Salaam leo.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Anna Maembe, akizungumza wakati akipokuwa akimkaribisha  Waziri wake, Sophia Simba, kuzungumza wakati wa kumkabidhi  Balozi Getrude Mongella, tuzo ya Heshima katika Ukombozi wa Wanawake wa Bara la Afrika, Dar es Salaam leo, iliyotolewa na Taasisi ya  Pan African Women Organization ya nchini Afrika Kusini.
Baadhi ya wafanyakazi wa Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, wakiwa katika hafla hiyo.
Baadhi ya wajukuu wa Balozi Getrude Mongella Magreth Joel(kulia), Edmund Magori (wa pili kulia) na Patrick Mongella (kushoto), wakiwa pamoja na mfanyakazi wa wizara hiyo, wakati wa kukabidhi tuzo hiyo jijini leo.
Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Sophia Simba akizungumza na waandishi wa habari, wafanyakazi wa wizara na wageni waalikwa wakati wa hafla ya kukabidhi tuzo hiyo kwa Balozi Getrude Mongella (kulia). Kushoto ni Katibu Mkuu wa wizara hiyo, Anna Maembe.

Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Sophia Simba (wa pili kushoto), akimkabidhi Balozi Getrude Mongella (wa pili kulia), tuzo ya Heshima katika Ukombozi wa Wanawake wa Bara la Afrika, Dar es Salaam leo, iliyotolewa na Taasisi ya Pan African Women Organization ya Afrika Kusini. Kushoto ni Katibu Mkuu wa wizara hiyo, Anna Maembe.
Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Sophia Simba (kushoto), akimkabidhi Balozi Getrude Mongella tuzo ya Heshima katika Ukombozi wa Wanawake wa Bara la Afrika, Dar es Salaam leo, iliyotolewa na Taasisi ya Pan African Women Organization ya nchini Afrika Kusini. Katikati ni Katibu Mkuu wa wizara hiyo, Anna Maembe.

Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Sophia Simba akimkabidhi Balozi Getrude Mongella tuzo ya Heshima katika Ukombozi wa Wanawake wa Bara la Afrika, Dar es Salaam leo, iliyotolewa na Taasisis ya Pan African Women Organization ya  nchini Afrika Kusini. Kushoto ni Katibu Mkuu wa wizara hiyo, Anna Maembe.
Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Sophia Simba (wa pili kushoto), akimkabidhi Balozi Getrude Mongella (wa pili kulia), tuzo ya Heshima katika Ukombozi wa Wanawake wa Bara la Afrika, Dar es Salaam leo, iliyotolewa na Taasisi ya Pan African Women Organization ya nchini Afrika Kusini. Kushoto ni Katibu Mkuu wa wizara hiyo, Anna Maembe na kulia ni Mkurugenzi Msaidizi Maendeleo ya Jinsia, Costansia Gabusa. 
Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Sophia Simba (kushoto), akiwa ameishikilia Tuzo aliyomkabidhi Balozi Getrude Mongella (kulia), aliyeambatana na wajukuu wake, Edmund Magori (wa pili kushoto) na Patrick Mongella.

Balozi Getrude Mongella (kulia), akiwa ameishikulia tuzo hiyo baada ya kukabidhiwa na Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Sophia Simba.

Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Sophia Simba (kushoto) na Balozi Getrude Mongella (kulia), pamoja na wajukuu wake, wakifurahia jambo wakati wa makabidhiano hayo.
Balozi Getrude Mongella, akiwa na tuzo hiyo, baada ya kukabidhiwa na Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Sophia Simba (kushoto), jijini leo.
Balozi Getrude Mongella, akizungumza na waandishi wa habari, wafanyakazi wa wizara hiyo na wageni waalikwa, wakati wa hafla hiyo, jijini leo.
Balozi Getrude Mongella, akizungumza wakati wa hafla ya makabidhiano hayo.
Balozi Getrude Mongella, akizungumza wakati wa hafla ya makabidhiano hayo.
Balozi Getrude Mongella, akizungumza katika hafla hiyo. 
Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Sophia Simba (wa pili kushoto), Balozi Getrude Mongella (wa pili kulia), wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wafanyakazi wa wizara hiyo,  wakati hafla hiyo.

Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Sophia Simba (wa pili kushoto), Balozi Getrude Mongella (wa pili kulia), Katibu Mkuu wa wizara hiyo, Anna Maembe (kushoto) na Mkurugenzi Msaidizi Maendeleo ya Jinsia, Costansia Gabusa (kulia), wakiwa katika picha ya pamoja. 
Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Sophia Simba, akizungumza na waandishi wa habari wakati wa hafla hiyo.
Balozi Getrude Mongella, akizungumza na waandishi wa habari wakati wa hafla hiyo.
Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Sophia Simba (kushoto) na Balozi Getrude Mongella, wakipiga picha ya kumbukumbu, wakati wa hafla hiyo.

No comments:

Post a Comment