TANGAZO

Thursday, November 7, 2013

Yanga yaikandamiza JKT Oljoro mabao 3-0, Ligi Kuu ya Vodacom, Uwanja wa Taifa

Wachezaji wa Yanga, Simon Msuva (kushoto) na Hamis Kiiza, wakishangilia bao la kwanza aliloifungia timu yake hiyo, katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom, uliochezwa Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo dhidi ya JKT Oljoro ya Arusha. Yanga imeshinda mabao 3-0. (Picha zote na Kassim Mbarouk-www.bayana.blogspot.com)
Wachezaji wa Yanga wakipongezana baada ya kufunga bao la kwanza katika pambano dhidi JKT Oljoro ya Arusha.
Haya ni matokeo ya awali ya mchezo kati ya timu hizo, uliochezwa Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo.
Simon Msuva akitafuta mbinu ya kumtoka Majaliwa Mbaga wa JKT Oljoro.
Simon Msuva akiwatoka Expendito Kiduko na Majaliwa Mbaga wakati wa mchezo huo, jijini leo.
Simon Msuva akiwatoka Expendito Kiduko (kushoto) na Majaliwa Mbaga wakati wa mchezo huo, jijini leo.
Paul Malipesa wa JKT Oljoro, akimzuiya Simon Msuva.
Frank Domayo wa Yanga akijaribu kuuzuiya mpira huku akifuatwa na Paul Malipesa wa JKT Oljoro.
Wachezaji wa Yanga na JKT, Oljoro wakiwania mpira katika mchezo huo.
Goool, hili lilikuwa ni bao la pili la Yanga, dhidi ya JKT Oljoro.
Wachezaji wa Yanga wakishangilia bao la 3, lililofungwa na Mrisho Ngassa (wa pili kushoto), dhidi ya JKT Oljoro, wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom, uliochezwa Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo. Yanga ilishinda mabao 3-0.

Mashabiki wa Yanga wakifuatilia mchezo kati ya timu hiyo na JKT Oljoro leo jioni, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
Mashabiki wa Yanga wakifuatilia mchezo kati ya timu hiyo na JKT Oljoro leo jioni, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
Ubao wa matangazo ukionesha Yanga 2 na JKT Oljoro 0.
Nurdin Selemani wa JKT Oljoro na Simon Msuva wakiwania mpira.
Nurdin Selemani wa JKT Oljoro na Simon Msuva wakiwania mpira.
Murdin Selemani wa JKT Oljoro na Simon Msuva wakiwania mpira.
Hamis Kiiza wa Yanga, akimtoka Swaleh Idd wa JKT Oljoro katika mchezo huo.

No comments:

Post a Comment